Hapo sawa.. naona kuna Rockets na Memphis pia wanaweza toa pesa
Hao labda uwape under, Memphis wanacheza full D na watamkaba sana Harden.
Siku za nyuma ungempa Memphis lakini siku hizi hawako consistent kabisa.
Mkuu Rockets anacheza na Detroit na Memphis anapiga na Lakers.. wote wako home
Mkuu Rockets anacheza na Detroit na Memphis anapiga na Lakers.. wote wako home
Sio probability wala mini...?
Kuna baadhi ya timu ambazo zinaonekana kabisa kwamba ni lazima zishinde...!
Sio probability wala mini...?
Kuna baadhi ya timu ambazo zinaonekana kabisa kwamba ni lazima zishinde...!
hahahaha hizo za point chache... 0.1
Chelsea vs Real Madrid
hapo vp
mdau.... mia mia....subiri mzigo.... huyu mjeruman....ingolstadt hii wiki ya tatu mfululizo anatoa sare.... na bado anaongoza ligi......msengerema saaaaanaaaaa
Shukran kwa Mtoto wa nzi mkeka wangu wa leo ni huu
View attachment 232525
Asante mkuu kwa kunirahisishia kazi hapo nikaongeza na katimu kamoja nikatia ka buku 5 leo nimeamka na mzigo wa maanajuve jana kapita na wengi ...nilipumzika tu
leo nimecheza hivi
ingolstadt win
estac troyes win
merseille win
bournmouth win
5000 returns 70900........
Shukran kwa Mtoto wa nzi mkeka wangu wa leo ni huu
View attachment 232525
angers mjinga sana yule
hongera san kiongozi !! the higher the risk higher the price
Daah polee sana mkuu Fc Emmen jana hata mimi kaniuaa......
Yani first half tu amepigwa 3
Second half kajitahidi akarudisha 2
Full time ikawa
Emmen 2
fc oss 3
Ligi ya holland2 sio ya kuamini sana timu za nyumbani naona hata za away zinshinda sana tu....
Taratibu mkuu ndo tunajikongoja hivyo, Wanakwambia katika 10 commandments of betting
Rule number one do not be Greedy
Rule number two do not stake what you can not afford to lose.
Nyingine nitamalizia kesho
View attachment 232543
BET WON
muongeze nadah mdau ungemweka merseille na troyes....mdau ulikua unacheza na 700000.....sio mbaya
premier betting set ya late
monaco win
malaga win
sampdoria win
psv win
madrid win
odds 16.53
5000 returns 82600
set ya normal early
shrewbury win
macclesfield win
bologna win
norwich win
burton albion win
bristol city win
bury win
odds 50.43
5000 returns 252180.
tuichambue hiii fastaaa fastaaaa