Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


leo ni kumuumiza tu
 
nafanya hivi

macclesfield
bury
burton
bristol city
norwich
b.munchen
r.madrid
malaga
psv
zenit
Total Stake
5000.00



Payout
872796.50
 
Vp kuhusu fa cup nani anashinda kwa leo tuwekane sawa wadau.
 

Duuh...! yani najuta ile mbaya,ila nikikumbuka tamaa haitakiwi kwenye huu mchezo roho inatulia tena ila ukweli ni kwamba najuta.

Ngoja tuchambue hiyo kitu tuone.
 
Uhakika
Monaco1.89Evian Tg Fc LoseMar 7, 2015 - 9:55 pm
Athletic Club - Real Madrid1.42Athletic Club LoseMar 7, 2015 - 7:55 pm
Fc Basel 1893 - Fc Thun1.41Fc Basel 1893 WinMar 7, 2015 - 9:55 pm
Go Ahead Eagles - Psv1.25Go Ahead Eagles LoseMar 7, 2015 - 8:25 pm
Hannover 96 - Bayern Munich1.19Hannover 96 LoseMar 7, 2015 - 5:25 pm
Paris Saint Germain - Lens1.17Paris Saint Germain WinMar 7, 2015 - 6:55 pm
Granada Cf - Malaga2.40Granada Cf LoseMar 7, 2015 - 11:55 pm
 
Jamani inatosha kucheza kwa tamaa na umaskini unaweka jero unataka milioni, leo naombeni timu mbili au tatu za uhakika zenye odd mbili niweke laki.
 
Wadau smahanini hiv mbna meridian kwenye google play sioni nilikuwa nayo mwanzo nilivyoona inagoma nikaifuta ku download upya siisomi
 

Hiyo set ya pili kwenye M Bet hazipo mkuu.
 
hstdesouza
fata nyuki upate manundu,hii inaitwa ngumu kumeza laini kutafuna
1. PSG v Lens 1 (1.18)
2. Athletic club V Real Madrid 2 (1.45)
3. Hannover V Bayern 2 (1.2)
4. QPR v Tottenham 2 ( 1.78)
5. FC Augburg V Wolfsburg 2 (2.13)
6. Deportivo v sevilla 2 (2.13)
7. Hamburg v Borussia Dortmund 2 (1.54)
8. Rennes V Metz 1 (1.8)
9. Ac Milan V verona 1 (1.6)
10. FC Shalke 04 v 1899 Holfeiman 1 (2.29)
11. Sampdoria v Cagliani 1 (1.83)
12. Evian TG v Monaco 2 (1.91)
TOTAL POINTS 588.63 x 5,000=2,943,157/=

UWOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO,KIPI KIMEKUSTUA HAPO:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Real
Sheff utd
Derby
Sevilla
Burton
Hibernien
Bristol city
Spurs
 
m-bet

derby win
sampdoria win
madrid win
psv win
totenham win
sheffield wednesday win
vitesse win
malaga win
norwich win
monaco win
kortjik win

odds 318....
 
wadau,msaada najaribu kujisajiri meridian ila kila niki register wananiambaia invalid promo code,hii promo code ni ipi??/
 
wadau,msaada najaribu kujisajiri meridian ila kila niki register wananiambaia invalid promo code,hii promo code ni ipi??/

Kila meridian ina promo code yake hazifanani so nenda kulituo chochote kilicho karbu nawe ulizia watakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…