Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

***** madrid!ndo mkeka wangu wa mwisho kwa leo uliokuwa unapumua baada ya kupigwa za chemba kwenye set ya mapema.Dah biashara leo imekataa kbsa!
 
Ngoja nitesti was mwisho
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji192]
FixtureOddSelectionBet closes at
Gent - Lierse1.17Gent WinMar 7, 2015 - 9:55 pm
Kortrijk - Cercle Brugge1.32K Mar 7, 2015 - 9:55 pm
Fc Basel 1893 - Fc Thun1.41Fc Basel 1893 WinMar 7, 2015 - 9:55 pm
Pec Zwolle - Cambuur1.72Pec Zwolle WinMar 7, 2015 - 10:40 pm
Evian Tg Fc - Monaco1.89Evian Tg Fc LoseMar 7, 2015 - 9:55 pm

Ticket information
Mar 7, 2015 - 9:45 pm Created on
10,000.00 Tzh Amount
70,789.6 Tzh Potential winning
103 Set number
Normal Game
 
Nimekosa 1M na uchafu kwa1500 kisa Kortrijk... Nina gundu mm
. nalitoaje wadau!?
 
Milan umebakia wewe tu jamani ukiniua na wewe basi tena naanza upya umasikini

Andybird wewe ni moja ya icon kwenye uzi huu..

Jinsi usivyokata tamaa ndio unatupa moyo sisi wengine.
 
Andybird wewe ni moja ya icon kwenye uzi huu..

Jinsi usivyokata tamaa ndio unatupa moyo sisi wengine.

Mkuu mie katimu kamoja kamoja tu ndo kananiua ila naamini ipo siku nitawapiga sana, walizokula hadi sasa zimefika 200,000 hivi na uchafu. Ila najua nitawala zaidi. Maana kuna siku nimewala. Na wao wananila mdogo mdogo ipo siku hawa williamhill watasema tumwkuchoka Root unakula sana hela zetu.

Kwenye maisha usikate tamaa. Hapa twapambana dhidi yao na wao dhidi yetu

Timu nyingi tunazoziamini ndo zatuangusha. Kila siku ni timu moja tena kubwa ndo yatuangusha.

Leo Real katuua wengi sana, akaja derby
Mimi naapa kuanzia leo Derby sitamuweka haya apewe 100 points.
Madrid nae ameanza zingua sana hivyo namkwepa na yeye pia.
 
Last edited by a moderator:
Japo nimeliwa sana ila MUNGU akusaidie ushinde mkuu Root


Mkuu asante sana. Ila hata akiharibu leo kesho nayo siku natafuta odds zangu sita tu au saba naweka hela yakutosha basi.
Mikeka inaua
 
Last edited by a moderator:
Leo kiasi fulani hali si nzuri sana kwa punters kesho kuna neema tena kubwa sana. Kesho 20000 yangu naiweka kwa
Liver
St Ettiene
Juve
Barca
Real
Atlet
Roma
Ajax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…