Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah! Sina hamu na Real Madrid. Kaninyima laki na 10 kizembe sana.

Bastia cap draw 4.04
Genk cap draw 3.44
Rennes cap draw 3.52
Madrid cap win 2.15****

Stake: 1000

Payout: 105,000.

Dah Madrid wameniumiza kichizi.
 
Draw no bett nikwamba iwapo hiyo timu uliyoicheza itatoka sare odd zake zinaondolewa(hazihesabiwi)
 
Mimi Inter hata apewe 2500 odds na +1 Cmchezei ng'ooo,wamesha niangusha mara 3 ivi,

Kwa mara hizi 3,yeye ndiye nilikua namsubiri nichkue mpunga 7bu zngine zote zilishatiki
 
45 mins barca win dinamo moscow win ajax win istanbul win liver win 20000 unapata 239000
 
Wakuu kwenye betting hamna timu,imara hasa kwenye Soka,

Usiiamini timu yoyote kwa kuirudia rudia kweny mikeka karbu yote hata kama ni
Bayer vs Stend utd,

Ona Madrid alivyoikira kira Mikeka.....!!!!


One team in one Slip.....!!!!!
 
Mwenye latest updates za matokeo mpaka sasa wakuu atuwekee hapa!!!!
 
Matumaini yanakuja



Bsc Young Boys - Fc Sion1.62Bsc Young Boys WinMar 8, 2015 - 3:40 pm
St Etienne - Lorient1.56St Etienne WinMar 8, 2015 - 3:55 pm
Dinamo Moscow - Fc Ufa1.23Dinamo Moscow WinMar 8, 2015 - 3:55 pm
Feyenoord - Nac Breda1.09Feyenoord WinMar 8, 2015 - 4:25 pm
Ajax - Excelsior1.30Ajax WinMar 8, 2015 - 4:25 pm
Fc Copenhagen - Brondby1.62Fc Copenhagen WinMar 8, 2015 - 4:55 pm
 

Ombea ajax ashinde naona anataka kututia kimavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…