Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FULHAM HT X
FT GG N OV 1,5
INPLAY TEST
CLINTOVILLE OV 2,5

[HASHTAG]#STAKEHIGH[/HASHTAG]
 
Nina buku 5 apa haina kazi
naombeni team 2 za uhakika niweke mzigo
 
Naombeni elimu ya handcap kujua kujua kwamba inakwaje ili uwe umela muhindi huwa inanichanganya sana kufahamu
Mimi huwa mnanichanganya sana kusema ukweli maana hizo topic zinaelezewa vizuri sana humu ndani kila siku.
Tena leo hii imeelezewa vizuri sana na Mr. Wise lakini watu bado mnarudi na maswali yale yale mnachoshaaaa
 
pole sana ndugu yangu, ni kweli elimu inatolewa ila wengine tunapishana nayo unaweza kukuta elimu imetolewa kwenye page kama 3 au 4 hivi zilizopita kwa hiyo tunapishana nayo, utumuvumilie mkuu changamoto kama hizi kwenye hii biashara ni lazima ukutane nayo hasa hizi biashara zinazohusisha pesa..!!!
 
upload_2018-1-3_0-3-12.png

Slot No.6 BET WON
 
Westaham GG n ov1,5
[HASHTAG]#shaaaaah[/HASHTAG]

West Ham United vs West Bromwich Albion
Score: 1 - 1
Min: 58
⚽ Goal!!
West Ham United
 
INPLAY

SOUTHAMPTON GG NNOV 1,5

TOTTENHAM OV 1,5/2,5

[HASHTAG]#STAKEWIFE[/HASHTAG]

INPLAY tuendelee kucheka

Southampton GG n OV 1,5
[HASHTAG]#wooooooooooooon[/HASHTAG]
Southampton vs Crystal Palace
Score: 1 - 1
Min: 69
⚽ Goal!!
Crystal Palace

Wale was 1/X TUENDELEE KUSUBIRI
 
Fulham GG n OV 1,5

Fulham vs Ipswich Town
Score: 1 - 1
Min: 70
⚽ Goal!! Sessegnon
Fulham

[HASHTAG]#woooooooooooon[/HASHTAG]

HT x
Lost
 
UKIWANAHELA YAKO KAZURI BEBA CHAMPION LG TIMU ZAKO MBILI MPAKA TATU TUPIA OV 2,5
KALE MACHARARII
 
Back
Top Bottom