Clintoville GG
Mimi huwa mnanichanganya sana kusema ukweli maana hizo topic zinaelezewa vizuri sana humu ndani kila siku.Naombeni elimu ya handcap kujua kujua kwamba inakwaje ili uwe umela muhindi huwa inanichanganya sana kufahamu
pole sana ndugu yangu, ni kweli elimu inatolewa ila wengine tunapishana nayo unaweza kukuta elimu imetolewa kwenye page kama 3 au 4 hivi zilizopita kwa hiyo tunapishana nayo, utumuvumilie mkuu changamoto kama hizi kwenye hii biashara ni lazima ukutane nayo hasa hizi biashara zinazohusisha pesa..!!!Mimi huwa mnanichanganya sana kusema ukweli maana hizo topic zinaelezewa vizuri sana humu ndani kila siku.
Tena leo hii imeelezewa vizuri sana na Mr. Wise lakini watu bado mnarudi na maswali yale yale mnachoshaaaa
ANGALIA NA BALABALA HT DRW
FT WIN OR DRW AWAY
INPLAY
SOUTHAMPTON GG NNOV 1,5
TOTTENHAM OV 1,5/2,5
[HASHTAG]#STAKEWIFE[/HASHTAG]