Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Roma, derby, real wako out of my ligi from leo hiii
 
Asante muhindi
 
Roma, derby, real wako out of my ligi from leo hiii

Huyu Maritimo na Mwenzake wanataka wanipe ugonjwa wa moyo kwa kupata uhakika wa pesa halafu wanakuangusha baadae.

Maritimo katia goli ndani ya dk 3, halafu hawa wengine dk 19 goli 3+ tayari duu unaweza agiza tende wakati match nyingine hazijaanza matokeo yake unajiingiza kwenye mikopo isiyo na maana.
 
Hahahahaha Betting Team yenye odds ndogo ndo inachana Mkeka, F...CK Liverpol
 
Kwenye simu nwdayz meridian hawafunguki... sijui kwa nini
 
Let me rest for a while, betting is only saturday, sundays have never so good to me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…