jaykiwele
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 552
- 414
Kweli uliota kaka wamechana wameshindwa hat kufika 200Nakuombea watoe mkuu ... mm huyo wa nyumbani sijamjua vzr ndo amenishawishi niachane nao kwa leo.
Kweli uliota kaka wamechana wameshindwa hat kufika 200Nakuombea watoe mkuu ... mm huyo wa nyumbani sijamjua vzr ndo amenishawishi niachane nao kwa leo.
Mi niliweka 2000 nikaweka siku 7 nikapata 29000Juzi kulipokuwa na upungufu wa mechi za kawaida niliingia na 5K nikatoka na 50K sikuendelea tena !
Nlimbahatisha sn na 3+ princessbet ...
Alunta kontinyuaMKEKA No. 2
Odd: 3.05
Stake: 50,000 Tsh
Marejesho: 152,500 Tsh
Probability: 92%
Mapambano yanaendelea
Cc: pddy, buddy, kilama, balotel, godzilla, issac77, mr. Wise & et all
View attachment 667446
Nilipanga kwenda na nayo but mambo yakawa mengi nikasahau.
Kwenye mchezo huu bwana inabidi upate kwa 100%. Hata ukiweka timu 8 ukifeli moja tu, basi umefeli mtihani mzima.Jamani mi Naomba kuuliza kwa wale wenye experience ya michezo hii ya kubahatisha mi nimgeni kwenye ubahatishaji ,nimejaribu kama Mara mbili hivi kubet online kwenye mkeka bet kwa dau la kawaida kama mwanafunzi anaejifunza kwanza .Naomba kuuliza ili utusue kama umebeti mechi mbili au tano kwa 1000 inakupasa ushinde zote au .
Naomba kuwasilisha
Mpwaaaahizin football tipszaleo??Pole Chief ...
Lakini siku bado mbichi kbs hii ... yani kifupi ndio tunaanza.
Kuna hii possible ...
![]()
Tukutane kwabaskofuWakuu hope mko salama tulikua kibaruani mapema sana leo nimerudi muda huu wa kuchukua cheque sasa naona cheque mbili tayari na zingine pia mpost jamani ili muhindi atiwe adabu atubu madhambi aliyotutenda
Mtoe formentera na Appolon sina imani na alaves km anaweza kushinda na AEK ana historia ya clean sheet sanaMSAADA WAKUMTAMBYA MCHAWI MAPEMAAAA....MAWAZO YENU JAMANI MUHIMU.
Ok kama imeairishwa odd yake itakuwa 1 na utalipwa kwa mechi zilizobakiaHiyo game ilishahairishwa ... na hata ingekuwa inachezwa leo kwa mfano bado walitakiwa waniruhusu niturbo, maana nimekidhi vigezo vifuatavyo (kuweza kuturbo kwa meridianbet) ...
- at least 3 games have been won
- the rest of the games have not commenced yet.
Naona ulishapita maeneo hayo mida ya mchanaTukutane kwabaskofu
Huyu jamaa sijui yuko wapi maana nasubiri slot zake piaMr Wise slot vipi au alishatupia