Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MADINI YALEOOO
PAMBANANA HALIYAKO CHAGUA CHACHE
 
Naona umechukua moja ya CBA vp hizo nyingine chenga nn?

Hapana mkuu nmeona nipunguze tamaa na risk pia ... huyo nliemuweka nimemuelewa zaidi kuliko wengine ... japo naona wengi watatoa Over 210 leo ... hofu kidogo kwa Sichuan.
 
TWENDE SAWA LEO NAYO SIKU TUCHAMBUE MUNGU YUPAMOJA NASI
 

Attachments

  • Screenshot_20180104-115811.png
    160.7 KB · Views: 32
  • Screenshot_20180104-115756.png
    160.7 KB · Views: 32
Hivi inakuaje unapotafuta Tim zinazotoa ov 1.5, game unaiona kabsa kwenye H2H kuna uwezekano wa kutoa 2+ lakini unaamua kuikacha ukihofia haitatoa. Haya unaona nijaribu nipeleke under 3.5, napo unaona kbx siyo sehem salama yanaweza toa 4+ yakachana!

Mimi Leo hawa wa' Israel, Iran nimewapa U3.5 liwalo naliwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…