fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,850
- 2,979
mkuu anae fix ni kampuni na timu husika, yani kuna ligi kama za Sweden mechi inapangwa kabisa leo ni draw kwa hali yoyote ile.. sasa mlipaji ni kampuni ya betting kuzilipa timu zile... nyie wabetiji mtaweka home win /away ..wapo watakao weka draw ila mwisho wa siku kampuni itavuna mpunga wa maana coz wengi wanaingia chaka ( kumbuka game nyingi wanazofix timu mojawapo inakua nafasi ya juu nyingine ipo chini)Hivi wanaofix game huwa wanatumia mbinu gani?
Na mimi leo nataka nifix game moja.
NOTE: Ligi wanazofix sana ni Brazil serie1, Sweden ,Norway, Scotland na nyingine ila England sina uhakika labda championship na national league.