Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 668248

Mr. Wise, Buddy, Willy Billy et al. !

Hii kitu vipi itatoa?

Ile ya Shenzen Vs Zhejiang Guangusa Lions nimeipotezea baada ya kuona Odds zimebadilika ghafla kwa Zhejiang Guangusa Lions (Odds zimetoka 1.9 mpaka 3.35).

Yenyewe nataka kuicheza Single kwa kumpa Zheijanga Guangusa Lions direct win maana anaongoza kwenye CBA League..!

Nawakilisha wadau.


Wanatoa hawa mkuu ... Mr. Wise unaweza wabeba hawa ...especially hao wawili wa kwanza.
 
Game ipi mkuu



Games ya Zheijing ... hii ya mwisho


afee44e45a5aab61c9539288743be205.jpg
 
Ngoja tuone km mchana utakuwa mzr ili tupate ya kuwekeza usiku.


8583032b2908c351710655c5c6fa946c.jpg



Aksante sana mkuu, uwe unanitag.

Nilifuata hizo mbili za juu naona tayari wameshavuka 160 na bado wanaendelea kuweka magoli.

Hakika basketball usipoweka tamaa uwezekano wa kumla kanjibai upo
 
Aksante sana mkuu, uwe unanitag.

Nilifuata hizo mbili za juu naona tayari wameshavuka 160 na bado wanaendelea kuweka magoli.

Hakika basketball usipoweka tamaa uwezekano wa kumla kanjibai upo


Safi mkuu na nilijua atavusha 160.5 leo ila toka skuile amenibalansia vikapu viwili nachukua tahadhari.

Mimi ngoja nimsubiri huyu mChina ...amenipa shaka sn toka amepandishiwa odds fasta namna ile.
 
Safi mkuu na nilijua atavusha 160.5 leo ila toka skuile amenibalansia vikapu viwili nachukua tahadhari.

Mimi ngoja nimsubiri huyu mChina ...amenipa shaka sn toka amepandishiwa odds fasta namna ile.

Labda kuna majeruhi, lkn kwenye H2H inaonekana tofauti na upandishaji wao wa odds
 
View attachment 668242

Mkuu Basketball tamu sana..!
Nimenza jana usiku nikaweka mzigo wa 4,200/= kwa odds 7. Nikaamka na 29k.

Leo nimeweka ile game ya Indonesia uliyotupia hapa nikaweka 10k kwa odds 1.8. Nimeondoka na 18k.

Nikaweka tena 4,200/= game ya Australia kwa Over 180.5 plus Under 140.5 kwa game ya Indonesia. Nimeondoka na 25k

Return = 73k
Capital = 18k
Profit = 55k

Napata ushawishi mkubwa wa kuhamia Basketball. Ahsanteni Buddy, Koncho77, Billy Willy kwa tips zenu na ushawishi mkubwa wa watu kujaribu Basketball. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Kweli mkuu, km una mtaji basketball inalipa cha muhimu usiwe na tamaa

Nimejionea hata mimi leo
 
Back
Top Bottom