Huyu Foolad ameenda half time hajapata goli hata moja
tusubirie tuone..InPlay ...
![]()
Nasubiri over 1.5 yao na mimi mkuuTuombe aongeze lingine aseeee moja linaweza kuchomolewa mda wowote
Ngoja tuombe aiseeeNasubiri over 1.5 yao na mimi mkuu
hiyo ngumu kumeza mkuuCelta Vigo v Barcelona
under 2.5 goals
odds 2.07
hongera sana mkuu progress yako iko poa sanaView attachment 668242
Mkuu Basketball tamu sana..!
Nimenza jana usiku nikaweka mzigo wa 4,200/= kwa odds 7. Nikaamka na 29k.
Leo nimeweka ile game ya Indonesia uliyotupia hapa nikaweka 10k kwa odds 1.8. Nimeondoka na 18k.
Nikaweka tena 4,200/= game ya Australia kwa Over 180.5 plus Under 140.5 kwa game ya Indonesia. Nimeondoka na 25k
Return = 73k
Capital = 18k
Profit = 55k
Napata ushawishi mkubwa wa kuhamia Basketball. Ahsanteni Buddy, Koncho77, Billy Willy kwa tips zenu na ushawishi mkubwa wa watu kujaribu Basketball. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
hongera sana mkuu progress yako iko poa sana
poa poa mkuuAhsante mkuu. Tuko pamoja, usinisahau kwenye kunitag tu. Nyota yako iko njema sana.
Mimi Basketball sijui chochote kabisa..!
Unanitamanisha nianze kuwafuatilia wachina maana mimi nawaelewa NBA peke yaohawa wachina watatu wa mwanzo wanapotential ya kuvuka vikapu 215.5 kama sio 220.5 kabisa ... tena huyo wa kwanza kwa spidi hii anaenda hadi over 250.5
![]()
InPlay ...
![]()
View attachment 668248
Mr. Wise, Buddy, Willy Billy et al. !
Hii kitu vipi itatoa?
Ile ya Shenzen Vs Zhejiang Guangusa Lions nimeipotezea baada ya kuona Odds zimebadilika ghafla kwa Zhejiang Guangusa Lions (Odds zimetoka 1.9 mpaka 3.35).
Yenyewe nataka kuicheza Single kwa kumpa Zheijanga Guangusa Lions direct win maana anaongoza kwenye CBA League..!
Nawakilisha wadau.
Hyo game itakua ngumu kea barca, ukzngatia kua huwa wanna bahat mbaya sn na ule uwanja wa celta.Dembele in Barcelona squad for Copa del Rey tie, but Messi omitted
Ousmane Dembele is set to make his first Barcelona appearance since September after being named in the squad for Thursday's Copa del Rey tie against Celta Vigo, but Lionel Messi and Luis Suarez have been rested. Dembele, Barca's record signing after joining from Borussia Dortmund for an initial €105million in August, tore his hamstring in a LaLiga clash with Getafe - his third outing for the club - and has not played since. Ernesto Valverde was non-committal regarding the 20-year-old's chances of playing against Celta in his pre-match news conference, but the France international could be in line to start in the absence of Messi and Suarez, with Paco Alcacer also omitted. Jose Arnaiz may get a chance to impress after being included in the squad, while Samuel Umtiti continues to miss out through injury amid reports Manchester City are considering triggering his €60million release clause.
View attachment 668248
Mr. Wise, Buddy, Willy Billy et al. !
Hii kitu vipi itatoa?
Ile ya Shenzen Vs Zhejiang Guangusa Lions nimeipotezea baada ya kuona Odds zimebadilika ghafla kwa Zhejiang Guangusa Lions (Odds zimetoka 1.9 mpaka 3.35).
Yenyewe nataka kuicheza Single kwa kumpa Zheijanga Guangusa Lions direct win maana anaongoza kwenye CBA League..!
Nawakilisha wadau.
tusubirie tuone..