Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Aluta continua, hakika basketball haihitaji tamaa tuHongera sana mkuu!
Mapambano yanaendelea...!
Aluta continua, hakika basketball haihitaji tamaa tuHongera sana mkuu!
Mapambano yanaendelea...!
Ngoja tuone km mchana utakuwa mzr ili tupate ya kuwekeza usiku.
![]()
Hongera chief....naona umempiga za uso mla pilipiliNgoja tuone km mchana utakuwa mzr ili tupate ya kuwekeza usiku.
![]()
WON, UbarikiweNgoja tuone km mchana utakuwa mzr ili tupate ya kuwekeza usiku.
![]()
Ngoja tuone km mchana utakuwa mzr ili tupate ya kuwekeza usiku.
![]()
Mkuu hongera sana naona hatimaye umemnyoosha, bado sijaelewa kabisa sababu ya kupandishwa odds mpaka 4. Hakika kanjibai alijichanganya.
HahaTulia mkuu usiwe desperate, twende mdogo mdogo tutarudi tu. Binafsi jana nimeumizwa sana lkn nimepanga leo na kesho ni mwendo wa mdogo mdogo mpaka kufikia weekend niwe nimesimama tena
Vp Tottenham leo nn waswas westham wakadraw
Nishaweka Tottenham win asubuhihapo bora kucheza corner
Nishaweka Tottenham win asubuhi
Sioni hiyo hela ikirudi
Fanya makeke mwingine majukumu yamefanya niukoseHahaaa ... daaah hatimaye imetoka. Hebu fanya kugonga cheers wherever you're km uliifuata hii. I know it wasn't easy especially kwa huyu mChina ila katutoa kimasomaso mwishowe.
BET WON !
Tunaendelea baada ya kuchukua faida ...
![]()
Mkuu! Nina wasiwasi na direct win ya Unicaja.
Angalia H2H kwa 2017. Zilivyokaa..! Kila mmoja ana chance ya kushinda..!
View attachment 668385
Unicaja anashinda mapema tu ... Valencia form yao ya ugenini ni mbovu sn ...
![]()
Hyo game itakua ngumu kea barca, ukzngatia kua huwa wanna bahat mbaya sn na ule uwanja wa celta.