Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
ILIKUWEPO
kunywa bia sasa
Mimi siku hizi nikitaka hela ya mboga nakimbilia huku kwenye vikapuAhsante Mkuu!
Naamka na SOUP nzito sana asubuhi hii.!
Basketball raha sana!
Thanks Koncho77, Willy Billy, Buddy, BABA-D, et al.
Ngoja nikachukue kilo moja ya maini hapa bucha.
Match hii ya CLIPPERS na THUNDER yaani inplay quater zote zimetoa positive result.
Hongera sana mkuu, mimi niliikuta imeshaondolewa.... Nikaamua kuwapa Clippers Over 117.5 ndiyo nazisikilizia hapa
Mimi siku hizi nikitaka hela ya mboga nakimbilia huku kwenye vikapu
ILIKUWEPO
kunywa bia sasa
Lost imbalance kwenye 117, yale yale mambo ya Buddy.
Ila nilichojifunza inplay ni vyema kubet total points, total goals na total corners instead ya kumpa individual team.
Aluta continua, hakika faida imeonekana
Tupen mkeka unao fata.Ahsante Mkuu!
Naamka na SOUP nzito sana asubuhi hii.!
Basketball raha sana!
Thanks Koncho77, Willy Billy, Buddy, BABA-D, et al.
Kuna wachina mchana, leteni implay zake saa nane LeoKwangu mimi kama NBA ingekuwa inapigwa mchana, I dont think kama ningekuwa nabashiri football
Hiyo game ya basketball imechezwa saa ngapi?
Tupen mkeka unao fata.
Wachina na Wafilipino pia wako poa sana kwenye vikapuKuna wachina mchana, leteni implay zake saa nane Leo
Mkuu aksante sana, hii biashara imeshaisha... Nimeshavuta changu tayari.
Ubarikiwe mno kutuonyesha hizi game, binafsi zimenipatia hela ya kutosha mafuta ya gari wiki mbili nzima.
Na kama siyo makosa yangu ya vidole hakika mafuta yangekuwa ya mwezi mzima
Mkuu shukrani nilifuata mkeka wako nimeongeza mtaji.asante mkuu ,yani gambling usipokua na tamaa inakupa hela ya kula na bills zako zoote kabisa mkuu
Hahahahahaa mkuu angalia ucje ukazibetia nazo ahaha but pole aisee mi kimbilio langu ni basket by the way twashukuru Mungu vipigo na vilio hum vimepunguaBaada ya Barcelona kuchana 2,5 over nipo p*mbu tu hapa dah!
Mchana naona kuna wachina tunasubiri mkeka mwingineasante mkuu ,yani gambling usipokua na tamaa inakupa hela ya kula na bills zako zoote kabisa mkuu