Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hii kweli mkuu saiz naona vipigo vimepungua

Mkuu kuna watu humu wametuongoza tusiongozwe na tamaa kwenye hii biashara.

Respect kwa watu kama wewe, Buddy, koncho77, DeepPond, Mr wise, Billy Walters, Pdidy na wengineo.... Hakika wabarikiwe wote na tuzidi kujaaliwa na Mwenyezi Mungu tuendelee na malaika wa ushindi
 
da46175bb55fddfeaff559fe50bbb9b9.jpg


Mkuu aksante sana, hii biashara imeshaisha... Nimeshavuta changu tayari.

Ubarikiwe mno kutuonyesha hizi game, binafsi zimenipatia hela ya kutosha mafuta ya gari wiki mbili nzima.

Na kama siyo makosa yangu ya vidole hakika mafuta yangekuwa ya mwezi mzima
 
Mkuu kuna watu humu wametuongoza tusiongozwe na tamaa kwenye hii biashara.

Respect kwa watu kama wewe, Buddy, koncho77, DeepPond, Mr wise, Billy Walters, Pdidy na wengineo.... Hakika wabarikiwe wote na tuzidi kujaaliwa na Mwenyezi Mungu tuendelee na malaika wa ushindi
asante mkuu ,yani gambling usipokua na tamaa inakupa hela ya kula na bills zako zoote kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom