Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-1-5_1-21-32.png

Kokolo la kwanza BET WON
 
Tottenham Hotspur - West Ham Utd
Over 0.5 goals (West Ham)
1.71

Numancia CD - Real Madrid
Yes (Madrid to score in both half)
1.81

Celta de Vigo - FC Barcelona
2+ (Number of goals in first half)
2.43

CD Leganes - Villarreal CF
1/X
1.34

Malaga CF - Hamburger SV
Over 1.5 goals
1.25

Hapoel Katamon - Beitar Kfar Saba Shlomi
Over 1.5 goals
1.26

Kokolo total Odds 16.06.....okota zako ama weka zote

Aksante sana mkuu Kwa mara nyingine kokoro lako linaniletea heshima mjini hapa.

Nilichukua odds 7 tu kutoka game ya Barcelona, Madrid na GG kwa Tottenham. Hatimaye nimeondoka na kitita.
 
MORROW TIPS
MAN U WIN &OV1*5
FIORENTINA GG &OV1,5
URA GG &OV 1,5
LIV 1X
ST PAUL GG
SELANGO FC OV 2,5
FC OSS OV 1.2&GG
 
CERCLE BRUGGE HT UND 1,5
OMAN HT UNDER 1,5
TANTA GG &OV 1,5
ALMASRY GG &OV1,5
 
Tottenham Hotspur - West Ham Utd
Over 0.5 goals (West Ham)
1.71

Numancia CD - Real Madrid
Yes (Madrid to score in both half)
1.81

Celta de Vigo - FC Barcelona
2+ (Number of goals in first half)
2.43

CD Leganes - Villarreal CF
1/X
1.34

Malaga CF - Hamburger SV
Over 1.5 goals
1.25

Hapoel Katamon - Beitar Kfar Saba Shlomi
Over 1.5 goals
1.26

Kokolo total Odds 16.06.....okota zako ama weka zote
uchambuz wa aina hii ni hatari kwa afya ya muhindi
 
To be honestly kuna mbinu kama zimebadilika hivi humu ndani...kama mmegundua kitu kasi ya kuliwa imepungua...na Kwa mwendo huu Kanji ajipange haswaaa...cha muhimu tujitahidi tutunze mitaji...kanji analika...thanks Kwa wote wenye mioyo ya kushea nasi mikeka yao...ama kweli kusafiria nyota kupo! Mbarikiwe wakuu..
 
Los Angeles Clippers win q1 vs Oklahoma City
Thunder
odds 1.94

Mkuu aksante nimeshaingiza hela ya mapema leo.

Nilikufuata, japo kuna mkeka nilikosea ambapo malengo yangu ilikuwa nimpe GSW over 114.5 kumbe nikafanya wrong choice kwa kumpa Home team. Nachek matokeo nakuta GSW kapata vikapu 224 nashangilia narudi kwenye mkeka nashangaa umechanika naangalia vizuri naona nilikosea nahisi ilichangiwa na usingizi. Hakika imenifanya nikose laki moja na ishirini ya mapemaaa.
 
Pole sana kamanda! Usijali wahi inplay na Over 211.5, tunaweza kupunga hizi loss.!

Aluta Continua
 
Mkuu aksante nimeshaingiza hela ya mapema leo.

Nilikufuata, japo kuna mkeka nilikosea ambapo malengo yangu ilikuwa nimpe GSW over 114.5 kumbe nikafanya wrong choice kwa kumpa Home team. Nachek matokeo nakuta GSW kapata vikapu 224 nashangilia narudi kwenye mkeka nashangaa umechanika naangalia vizuri naona nilikosea nahisi ilichangiwa na usingizi. Hakika imenifanya nikose laki moja na ishirini ya mapemaaa.
Pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom