Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii game ya Villarreal ikitoa2+
N Kwa msaada tu wa Mungu wang
 
Pole sana mkuu DeepPond,

Kwa hakika M/mungu akufanyie wepesi.
Amen,
Naona mnaendeleza mapambano.

Mimi nmecheza tu in play game ya barca.

Nataka jumla ya corner 9 full time
Odds- 1.68

Pia nmebet corner 1 tu kutoka kwa barca ndani ya first half, odd-1.43
 
wale wa barca bts/gg weka tick
upload_2018-1-4_21-43-59.png
 
Wakuu mpo?

Aisee samahan wadau.

Leo sjasuka mkeka wowote.

Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.

Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.


Pole sana Bro, wishing the baby a quick recovery.
 
Tuliompa Barca ushindi ni bora tuanze kusuka mikeka mipya maana naona huu tayari umeishachanika.
upload_2018-1-4_21-46-46.png
 
Amen,
Naona mnaendeleza mapambano.

Mimi nmecheza tu in play game ya barca.

Nataka jumla ya corner 9 full time
Odds- 1.68

Pia nmebet corner 1 tu kutoka kwa barca ndani ya first half, odd-1.43

Jambo la kheri kama anaendelea vizuri.

Mapambano yanaendelea.

Pesa leo iko Basketball..!
 
Kumbe wa ww huwa unabet? ... hahaha hii dunia bana. Jana ulisema hili group limejaa Jobless lkn nashangaa kukuona humu kila siku ...nafikiri tunakuinspire tunapopiga mpunga ndio maana unatufuatilia.
Watu wanaobet ni wengi wengine wanafanya siri....halafu haohao ndio utakuta kwenye uzi fulani wanatuponda ila baada ya muda utamuona humu nae ni member tena aliyetukuka...
 
Back
Top Bottom