DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Shukran sanaHii hapa pokea mkuu! View attachment 668634
Shukran sanaHii hapa pokea mkuu! View attachment 668634
Nataka kuona corner na yellow cards.Hii hapa pokea mkuu! View attachment 668634
Acha kisebengo
[emoji23]Mwenye mchezo wowote hata wa kukimbiza mbuzi naomba mkeka nijilipue
Nataka kuona corner na yellow cards.
Hazionekan vzur mkuu
Watu wanaobet ni wengi wengine wanafanya siri....halafu haohao ndio utakuta kwenye uzi fulani wanatuponda ila baada ya muda utamuona humu nae ni member tena aliyetukuka...
Pole kamanda atapona pundeWakuu mpo?
Aisee samahan wadau.
Leo sjasuka mkeka wowote.
Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.
Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Watu wanaobet ni wengi wengine wanafanya siri....halafu haohao ndio utakuta kwenye uzi fulani wanatuponda ila baada ya muda utamuona humu nae ni member tena aliyetukuka...
Haa haa sana aiseeeeWatu wanaobet ni wengi wengine wanafanya siri....halafu haohao ndio utakuta kwenye uzi fulani wanatuponda ila baada ya muda utamuona humu nae ni member tena aliyetukuka...
Acha kukata TamaaWale tuliowapa Barca straight win tuanze kulia kwa sauti😉😡😕😱😳🙄😵
Pole sana mkuuWakuu mpo?
Aisee samahan wadau.
Leo sjasuka mkeka wowote.
Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.
Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.
Kona 6 Dk 82Barcelona kona ngapi huko wakuu
Tuko wengi mtu na wa 2.5 overWale tuliowapa Barca straight win tuanze kulia kwa sauti😉😡😕😱😳🙄😵
Duh,Kona 6 Dk 82
Pole sana Mzee, Mungu atampa Afya njema.Wakuu mpo?
Aisee samahan wadau.
Leo sjasuka mkeka wowote.
Nmekua bize sn na mambo ya kifamilia.
Now, ndo natoka hospital.
Mwanangu mchanga, aliamka asbuh akisumbuliwa homa Kali.