Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

da46175bb55fddfeaff559fe50bbb9b9.jpg
nimefata kama ilivyo
 
Hii London derby ya Spurs ndio maana niliogopa kucheza Over2.5...yani Moyes kajaza maviungo kibao ye anazuiatu wala hana shida ya kushambulia
 
Spurs wanaboa sana...hawapigi hata mashuti hii inamaana hata kona ngumu kuwa nyingi. WHU ndio kabisaa maana wana zero attempt
 
ONLY WAY KUMLIZA KHANJI HATA KURUDISHA MTAJI UKIONA TIMUKUBWA NYINGI KIMBILIA MOJA AMA MBILI DC NYINGI KUFUNGWA NADRA LAKINI KUDRW POSBL

JIANDAE KUMLA MHINDI SIO KWA MIKEKA MIWILI INAHITAJI KUJITOA
 
Wakati naandika UA Tottenham ulifikiri natania kazi imeanza anayukwa 0-2
 
Tottenham Hotspur vs West Ham United
Score: 0 - 1
Min: 70
⚽ Goal!!
West Ham United
 
Na Madrid anacheza na hao watoto wakiwa pungufu wana redcard sasa cjui kwanini wanashindwa ku score
 
Back
Top Bottom