Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nataka kutoka hivi nimalizane na hii siku.

Nini maoni yako?

ITALY-SERIE A
Fiorentina vs inter Milan
Total corners over 12.5 odds 2.19

WALES
Prestatyn vs TNS

Total goals over 3.5 odds 1.7
mkuu hyo tns si ashakuwa bingwa?kwny hiyo ligi yao anaweza chezesha kikosi namba3
 
endeleeni na moyo huohuo naamini kuna kundi kibwa tena watu wengine ukiambiwa wanabet utashangaa nao tunakula nao sahani moja humu

wanachukua tips kimya kimya na kusepa. cha msingi ni kuwa muhindi arudishe pesa zote za mwaka jana
mkuu, wakitaka kucomment hum wanakuja na fekero jipya. ahahahah
 
mkuu hao 1x bet jamaa tokea jana mchana saa sita mpaka muda huu nilidepositi pesa lkn haionekani ktk account yangu.
mkuu Mimi nimeamua kuwaachia, tangu January 01, hadi Leo wananipiga danadana
 
Wazee wapoint mbili kazi kwenu
Man Utd v Derby
[ X ]Over 2.5 goal
Fiorentina v Inter Milan
[ X ]Yes
1.72
Both Teams To Score

point 2.65
 
Xinjiang Tigers vs Guandong Southern Tigers
Guandong Southern Tigers
(DNB q1 )
odds 2.13
NARUDI LEO KWA KUWEKA 40k
15:00hrs
 
Baada ya kuvuta faida, ngoja tudundulize tena mitaji ya jioni/usiku ... sema leo waChina sijawaelewa vzr ...wanafaa kwa InPlay hawa. Hata waKorea nao ... nahisi kuna mmoja atazingua ...stake low.

Ngoja tuone ...

 
Sorry wakuu. Naomba mnikumbushe zile code za kudeposity hela princess betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…