Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumdhamini Man U, ni sawa na kumdhamini mmasai siku ya kesi haonekani anaenda chunga ng'ombe za ukoooo. Leo nimempa (makokolo) mikeka mitatu na kachana yote(mtanisamehee kama kuna mmasai humu-joking tu)
Hat Mimi simwelew
 
Princess hawagawi kwa Q, wamaweka half tu. Wananinyima hela sana kwa hizi option za q unazoletaga.
Wale nawatumia kwa football tu lakini kwenye basketball hawajajipanga, premierbet wapo vizuri sana kwenye basketball
 
Hapa kama uliokota baadhi amechana Man U tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…