ahahahah virtual jana imenipiga za usoVirtual ni kila siku
Ukiona angalau Mana yake Kuna mkeka wa football umetiki
Haa haa haa huo mchezo hapanaahahahah virtual jana imenipiga za uso
nikaamua nianze na 10,000 mchezo wa kwanza tu ikaondoka na maji.
Hat kwangupande wangu Leo premier inasumbua kweli kweli web yao haifungiki
daa basi kunatatizo hapoHat kwang
BET WON ,LEO PIA NITAWALETEA.Man u 1.28
Livepool 1.17
Fiorentina 1.11
all UNDER 4.5
Odd 1.66
Poa mkuu.. Itakuwa poa sana.BET WON ,LEO PIA NITAWALETEA.
Pole Chief, huyo jana kaharibia kila mtuNajuta kuijua Ova.
Kodi mazeeNjooni Mkekabet acheni kulia lia wazee