yakub yusuf
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 319
- 86
Leo napumzika. Kesho narudi. Kuna pesa Kule Europa league. Nacheza 45mn tu
Wadau nishaurini hii timu ya western sydney na melbourne city nataka nitoe mkeka muda c mrefu
chelsea win, bayen win... total odds 2.2 weka hata laki ikiliwa ntakurudishia
Rockcity native
Ngoja nisubirie mpira uanze nicheze online tu
live iko poa sana
onlie ndio kichefuchefu imeshaa nitafuna balaa!!! unaiona timu kama inashinda kabisa dakika za mwisho mambo yanaharibikaRockcity native
Ngoja nisubirie mpira uanze nicheze online tu
Jaman mechi ikivunjika na kuahirishwa inakuwaje? kwa watu wa M-bet
Normally Kwa betting sites nyingi sharia inasema game ikivunjika after 75mins matokeo yanakubalika otherwise unarudishiwa mpunga wako
Normally Kwa betting sites nyingi sharia inasema game ikivunjika after 75mins matokeo yanakubalika otherwise unarudishiwa mpunga wako
Baryan muchen wanataka kunipatia mzingo wa maana, haha ha ha ha ha lakn hawa bolton bado wanachechea nimebet mechi mbili tu. kufuga kipindi cha kwanza magori mawili.
Tumeingiliwa..
Umeuza ngombe ukatia mkeka