MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
jamaa wanakupa dola 8 kama kianzio
Mbona mimi sijapewa, nimejisajili ila akaunti inasoma 0 USD.
hat me mar ya kwanz ilixoma 0 ila leo nmekuta 8
hizi dola 8 za kuchora nini?mbn hazfany kaz
hat me mar ya kwanz ilixoma 0 ila leo nmekuta 8
Mbona mimi sijapewa, nimejisajili ila akaunti inasoma 0 USD.
Mpaka udeposit pesa.. mi navuna mafaida tu live betting tena!
Mpaka udeposit pesa.. mi navuna mafaida tu live betting tena!
Mpaka udeposit pesa.. mi navuna mafaida tu live betting tena!
unadeposit vp?cz mbet wana namba yao 2nayo2mia kuweka mzgo hii mbn cjaona # yao?na kima cha chn bei gan?
Mkuu nimejirejister unadeposit vipi pesa na unabet vipi?
Shindweni wenyewe...
Mkuu browser gani hii unatumia??...browser zangu zote zinafungua nusu kuna haya maandishi ya mbele siyaoni
Natumia mozilla nayo hayaonekani mpaka uweke rotation on then uiflip sideways...
Natumia mozilla nayo hayaonekani mpaka uweke rotation on then uiflip sideways...
Kianzio ni sh ngapi kesho nijilipue
Naona hata buku 2..
Mbona nilitaka kudeposit 2600 kwa m pesa ikanigomea
Jaribu buku 5 ndio nilioanza nayo, nimejaribu kutoa pesa leo wanataka id waone kama ni over 18.
Sasa hiyo id unawaonyeshaje?