Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naunga mkono hoja yaan option za basket sijazielewa juz niliingia kichwakichwa nkaliwa ila n kwa sababu ya option. DeepPond atusaidie
Hio hapa chini mechi ya Fernabance....

Nliiweka kama inavoonekana kwny mkeka No.1
 
Nimejiunga leo na mambo ya betting ivyo daaah ata sielew elew aya mambo yanavyoenda na nimeweka 5000 kwenye account ivyo mwenye mkeka atupie samahanin lakin shida yangu mkeka
Unatumia betting company gani kwanza!?[emoji102]
 
Hao walazimisha mkeka uwe na timu nyingi

ili mchawi apatkane na mkeka wako uchanike.

THATS TOO BAD, POLENI SN MNAOTUMIA M-BET.

Mkuu wana lazimisha uweke mkeka wa mechi nyingi ili uchanike hahahahaha hawa jamaa niwachumia gumbo balaa
 
Afu anakuja mjinga mmoja toka MMU ana tuita jobless mshahara wake anao utafuta kwa siku 30 unapatikana ndan ya saa2

[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yule jamaa namwonaga kwenye nyuzi mbalimbali ana matatizo sana kuna sehemu nshaona anamfananisha Pele na Giroud [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…