Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WAKUU,
kwenye michuano ya Euro league upande wa Basketball naiona mechi ya

"Valencia vs Fernabance"

Inachezwa usiku,SAA 4:45

Hii mechi naona MUHINDI ameingia mkenge kwa kumpa fernabance odd kubwa kiasi kile.

Na naiona kabisa hii game, fernabance anashinda kwa kishindo kabisa

Tena kwa difference kubwa sn tu ya point za vikapu.

Kwann nasema hivo?

Hii ni kwasababu,
Katika takwimu za viwango vya ubora wa club za basketball barani Europe kwa sasa.

Fernabance anashika nafas ya 5, Pia kwa form alokua nayo kwa sasa.

Namuona kabisa fernabance akiwa ktk top 3 ya club bora zaidi barani ulaya.

Ukiachilia mbali siasa za wahispania ktk fitna za upangaji wa ranks ndani ya mpira wa kikapu.

Ili waonekane wao ndo bora sana.

Kwann nasema hivo?

Hii ni kutokana na form Kali sana alyonayo fernabance kwa hivo sasa.

Fernabance ktk mechi 15 zilizopita ,
Ameshinda mechi 12 na kupoteza mechi 3 tu.

Na hizo mechi 3 pekee alzopoteza, amepoteza kwa mbinde sn

Na alkua akicheza na club bora sn europe ktk kikapu.

Tena kapoteza kwa tofaut ndogo sn ya point za vikapu .

MF:
mechi alopoteza na Real Madrid hivi amepoteza kwa tofauti ya vikapu 2 tu.

TUGEUKIE SASA KWA VALENCIA,

Huyu Valencia ukimwangalia kwa sasa, hali yake ni mbaya mno.

Huyu Valencia ktk mechi zake 11 zilizopita.

Valencia amepoteza mechi 7, na hata hzo mechi zenyewe 4 zilizobaki alzoshinda.

Ameshinda kwa mbinde sana akiwa home ground,ukzngatia kwamba pia alkutana na timu dhaifu.

Kwahyo tunaona,kua bado home advantage haimsaidii sana Valencia .

Kingine ni kwamba,
HEAD TO HEAD

Kwny head to head ilopita,

tumeshuhudia fernabance akimshughurikia Valencia kwa kichapo cha mbwa mwizi.

Fernabance alishinda hiyo mechi kwa difference kubwa sn ya point 13 dhidi ya Valencia.

Na baada ya hapo, fernabance amekua ktk fomu Kali sana na tishio barani ulaya.

MY TAKE,
Hii mechi fernabance anashinda moja kwa moja, tena bila haja ya extra time.

Tena anashinda kwa ushindi wa zaidi ya diff ya point 5 mpk 15.

Hitimisho,
Unaweza icheza handicap ya -3.5 kwa fernabance kushinda mechi.
-Stake unatia ya kawaida

Au kama ni muoga,
Unaweza kumpa direct 3way win
- stake unatia kubwa

Au kama ni muoga zaidi,
Unaweza kumpa direct 2 way win
-stake unatia mlima.

NATUMAI TUKO PAMOJA WAKUU.
direct 3way win na direct 2way win tofaut yake ni nn?
 
Muongeze

panathinaikos vs Barcelona.

Zicheze ktk bet slip tofauti.

Mkeka no1.
Panathinaikos- 2 way win


Mkeka no.2
Fernabance - 2 way win

Tia stake ya maana kila mkeka,
Afu agiza balimi,ukisubiri cheque clearence.
Mkuu naomba utengeneze sample ya mkeka then utupie samahani kwa usumbufu leo nataka nijilipue mkuu...

Na mapambano yaendelee chief....
 
Weekend hii ngoja nijilipue zaidi ya kulipuka kanji akipita tena hadi nisikie ganzi ya kichwa. *****
 
Mkuu wana lazimisha uweke mkeka wa mechi nyingi ili uchanike hahahahaha hawa jamaa niwachumia gumbo balaa
Kweli mkuu,
Afu wanashawishi watu wawe watia stake kubwa kwny jackpot ya mechi 12.

Odd 2000+

Afu utakuta MTU anatia stake elfu 50 daily ili ampige muhindi 100 million

That's too crazy.
 
Screenshot_20180111-185453.jpg

Any ammendments wadau kabla sija lipuka!!!????
 
Kweli mkuu,
Afu wanashawishi watu wawe watia stake kubwa kwny jackpot ya mechi 12.

Odd 2000+

Afu utakuta MTU anatia stake elfu 50 daily ili ampige muhindi 100 million

That's too crazy.
Yah Crazy enough
 
Ndugu zangu habari zahangaiko ,naomba nifahamishwe namna ya kudepost pesa na namna yakutoa princesses bet,kwa sababu leo nimejisajiri sijui utaratibu mwingne unakuwaje
 
BASIASI KOKOROOOOO HAPO JUU
LINAENDELEANTEMA

DHAFRA FT UND 3,5

[HASHTAG]#WOOOOOOOON[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom