jaykiwele
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 552
- 414
Nimeiechlewa sijui niwape 2 way- 1Update....
Kwa Wale mlonifata ktk huu mkeka.
Huyo wa mwisho basket tunatia tick
Keshaongoza tayar first half
View attachment 673206
Nimeiechlewa sijui niwape 2 way- 1Update....
Kwa Wale mlonifata ktk huu mkeka.
Huyo wa mwisho basket tunatia tick
Keshaongoza tayar first half
View attachment 673206
Update....MKEKA No.2
Odds: 1.55
Stake: 200k
Marejesho: 310k
NB:
-Uyo wa kwanza ni football- friendlies
-Uyo wa pili ni hockey-norway
-uyo wa tatu ni basket-croatia
WEKA STAKE MLIMA
Mapambano yanaendelea
View attachment 673185
Daaaa wew jamaa ni mwanaume wa shokaaMwanzoni, roho ilkua inasita sana mpaka nikawa na kitete mkononi.
Ila nkajilipua tu,
Mwingine huu hapa....
Over 43.5 third quarter imetick
View attachment 673071
Pole sana Mpambanaji.
Odds ndogo mno.Nimeiechlewa sijui niwape 2 way- 1
Ndo mapambano halisi mkuuDaaaa wew jamaa ni mwanaume wa shokaa
Mm mwnyw nmeimiss erestre divisie sana.
Nataman sn wawepo NEC nijmeng na jong ajax.
Hao jamaa burudani sana.
Mapema kabisa mkuu Niko kibaruaniWanakuja keshooo mkuuu woote wahimapema na mzigoo
Mkuu Hongera sana naona hii ishakuwa biashara unapiga mhindi hadi si vizuri....Wakuu,
Duh, yaan kuna timu zinapiga kikapu ni balaa.
Yaan ukishatia hela ako, unarelax kabisa.
Huku ukishushia balimi baridi safi kabisa na kitimoto kilo 2 ,
Ukisubir tu mkeka utick ukalipie bill.
Huyu cedevita mpk sahv anaongoza kwa diff ya vikapu 30+
TIMU KAMA HIZI NI HATAR SANA KWA AFYA YA MUHINDI
View attachment 673256
Levante vs Espanol dk ya 10 washatoa corner 5.
Wakuu,
Duh, yaan kuna timu zinapiga kikapu ni balaa.
Yaan ukishatia hela ako, unarelax kabisa.
Huku ukishushia balimi baridi safi kabisa na kitimoto kilo 2 ,
Ukisubir tu mkeka utick ukalipie bill.
Huyu cedevita mpk sahv anaongoza kwa diff ya vikapu 30+
TIMU KAMA HIZI NI HATAR SANA KWA AFYA YA MUHINDI
View attachment 673256
Mkuu leo wamenila nila ndio maana baadhi ya mikeka naichek tu.Nshaweka mkeka tayar
Ukiiona fursa ni vema ukajituma sn kuifatilia.Deep point. Wew ni fast learner. Juzi Juzi tu ulikuwa unalia lia na unaogopa kutia hela kweny basketball. Sasa hiv umesha kuwa mkongwe. Hakika wew ni genius.
Pole sn mkuuMkuu leo wamenila nila ndio maana baadhi ya mikeka naichek tu.
Hahahaha dah mkuu kidogo kidogo business yako inapiga hatua,Ukiiona fursa ni vema ukajituma sn kuifatilia.
Betting is my official 2nd hand business.
Naitumia kupata hela ya kula na matumz ya hapa na pale.
Pia inanisaidia kukuza mtaji wa biashara yangu ya duka la hardware pamoja na duka langu jipya LA electronics
Lazima nijitume sana wanangu wasilale njaa mkuu.
Hongera sana mkuu.Hatari sana mkuu! Nimeomba Corner 10 FT.
Darasa alilolitoa DeepPond kuhusu Corner nililielewa. Siku hizi ni mwendo wa Corner na Handicap tu!