Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Al maalum kwa wale,
Wazee wenzangu wa Inplay bet ktk Basket.

TUKAE MKAO WA KULA PESA.

Leo kuna hii mechi ya south korea
"Seoul Knights vs Mobil Phoebus"

Hii mechi nkiiangalia naiona kabisa ikitoa
"over 40.5 ktk 3rd quarter"

Kwann nasema hivo?

Hii ni kwasababu Mobil Phoebus akiwa away ni tishio sana katika ushambuliaji tangu ligi ianze.

Huyu Mobil Phoebus ameshinda mechi 7 mfururizo away na mechi zote hizo amepata point 87+

Huyu Mobil Phoebus ktk mechi zake 6 zilizoshinda akiwa away, mechi 5 mfururulizo ametoa "over 40.5 ktk 3rd quater"

Ukimwangalia huyu,
Seoul Knights, Huyu ndie anaeongoza ligi ya kikapu kwa hivi sasa.

Na ana striking offence ya maana sana.

Ijapokua mechi kadhaa za hivi karibun amekua hayuko form na amekosa consistence ya kueleweka.

Nna imani hii game ya Leo nae arafight sana ili asishushwe kwny msimamo.

Hivyo nae atashambulia kwa sana.

Kwahyo hii mechi, natarajia kuona vikapu vya kutosha kutoka kila upande.

Pia, tusisahau kujikumbusha mechi ya juz Seoul knights alpocheza na Incheon.

Tulishuhudia vikapu vingi sn 3rd quarter, ziliingia point 55 ktk 3rd quarter.

MY TAKE:
Hii mechi inafaa sana kuicheza over 160.5 IOT, odd: 1.48

Pia unaisubir wakienda half time, kisha in play tunajilipua over 40.5 ktk 3rd half,odd 1.48

Binafsi, hapo kwny Over 160 na over 40.5 ktk 3rd quarter ntaweka stake mlima.

Mwisho,
Hii mechi naiona km Mobil Phoebus anaweza kabisa kushinda ijapokua anacheza na kiongoz was ligi na muhindi kampa odd milima.

Binafsi hizo odd 2+ za ushindi was 2 way ntazifata, ila kwa stake kiasi.

TUSIIPOTEZE HII GOLDEN CHANCE WAKUU.
MREJESHO........

Option zote nlizosema hapo juu zimetick.

3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.

Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.

Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.

Hakika mapambano yanaendelea
2018-01-11-15-08-12.jpg
 
Attachments

  • 2018-01-11-15-06-36.jpg
    2018-01-11-15-06-36.jpg
    52.9 KB · Views: 69
  • Screenshot_20180111-150024.png
    Screenshot_20180111-150024.png
    77 KB · Views: 33
MREJESHO........

Option zote nlizosema hapo juu zimetick.

3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.

Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.

Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.

Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 673067View attachment 673068
BIG UP sana Chief ... yani 250K inaingia in less than 2hrs.

Yaan ndio nafungua princess nichez in play huk tayar Korea washafunga bas tujaribu who wins rest of the match tumpe korea
 
MREJESHO........

Option zote nlizosema hapo juu zimetick.

3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.

Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.

Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.

Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 673067View attachment 673068
ushauri kwako wenye faida.

najua humu unajitolea mno na unahitaji pongezi za ziada mnooooo hebu kaa na wataalamu mfungue website ya maswala ya uchambuzi/app itakulipa pia

ila ukifanikisha usipasahau humu kwakua ndipo wazo liliko anzia.

kazi njema nisije pigwa mawe na wanajukwaa bure
 
Naona umetumwa na kanjibai
 
Mwanzoni, roho ilkua inasita sana mpaka nikawa na kitete mkononi.

Ila nkajilipua tu,

Mwingine huu hapa....
Over 43.5 third quarter imetick
View attachment 673071

Big up Chief, mdogo mdogo najua ipo siku nitafikia hapo na mimi.

Upo njema mno..... Kwa watu kama sisi ambao bado hatujachipua vizuri kimtaji uwe unatuongezea maandishi ya Stake big au Stake low au Stake kwa Tahadhari ili nasi tupate courage ya kujilipua tunapokuwa na hela
 
Poa mkuu,
Ntafanya hivo.

Hii mechi tokea Jana usiku nlikua naimezea sn mate.

Odds alizopewa phoebus zlkua ni nyingi mno kulinganisha na uwezo wake.
 
Naona umetumwa na kanjibai
kiaje mkuu ni ushauri tu anaweza asiuzingatie hata kwa asiliimia 1.

kumwonesha sehem nyingine anakoweza kupata mapato zaidi kupitia uchambuzi wake ni kutumwa na muhindi? duh!!!
 
ushauri kwako wenye faida.

najua humu unajitolea mno na unahitaji pongezi za ziada mnooooo hebu kaa na wataalamu mfungue website ya maswala ya uchambuzi/app itakulipa pia

ila ukifanikisha usipasahau humu kwakua ndipo wazo liliko anzia.

kazi njema nisije pigwa mawe na wanajukwaa bure
Nmeupokea ushaur wako
 
Dah,
Sio mchezo mkuu.

Nmerudisha ela yangu yote nloliwa Jana na juz.

Pamoja na faida juu

Hapa lazima hasara irudi. Kumbe huyu jamaa tunaweza kumpiga sn InPlay kuliko kusubiri dk 90 only to be disappointed na kukosekana kwa goli moja au corner moja.
 
Back
Top Bottom