Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Thank you,

Ila natamani sana angalau wangekua wamenifata hats watu wanne kwny ule ushauri.

Nafsi yangu ingefarijika zaidi.

HELA YA MUHINDI, MKIMPIGA WENGI KWA PAMOJA INAPENDEZA SANA.

Mkuu tunafuata kimya kimya! Ila stake ndiyo tunatofautiana.
 
MREJESHO........

Option zote nlizosema hapo juu zimetick.

3rd quarter- over 40.5 imetick
Full time - mobis Phoebus kashinda mechi.

Na furaha kusema kwamba hatimae BET WOOOOOOON.

Hongera sana mlonifata ktk huu ushauri.

Hakika mapambano yanaendelea
View attachment 673067
Hongera sana mkuu kweli hii bizness nzuri.
Asante kwa kutoonesha njia.
 
Wakuu,
Europa kwny kikapu,

Kwa haraka haraka naona km kuna game nyngn ya pesa ndefu mno.

Hebu niifanyie utafiti wa kutosha kwanza

afu nkiridhika nayo ntawamwagia hapa jukwaani
Mkuu nilichelewa wakorea hebu ya europa tusiikose
 
Kazikwenu
Screenshot_20180111-162311.png
 
Thank you,

Ila natamani sana angalau wangekua wamenifata hats watu wanne kwny ule ushauri.

Nafsi yangu ingefarijika zaidi.

HELA YA MUHINDI, MKIMPIGA WENGI KWA PAMOJA INAPENDEZA SANA.
Mi nimepitwa mkuu ,natamani saiz kila ningeseti simu mtu akichangia kwenye hili jukwaa nipate ujumbe hela kubet mchana ni vizuri kuliko usiku unalala bila pressure
 
Naombeni Mkeka mmoja safi wa mbet,maana toka Nov napigwa tuu
 
Wakuu,
Europa kwny kikapu,

Kwa haraka haraka naona km kuna game nyngn ya pesa ndefu mno.

Hebu niifanyie utafiti wa kutosha kwanza

afu nkiridhika nayo ntawamwagia hapa jukwaani
Mkuu unatutia moyo sana nasi tujizatiti kistake leo muhindi kapigwa chuma za kutosha naamini huu mwendo akipelekwa nao siku 3 mfululizo atafunga kampuni. Let's keep it moving bro
 
DeepPond hongera sana...ila unajua wadau mnaoweka mizigo kama hii mko wachache ,wengi stake za kawaida...mbaya zaidi wenye stake za wastani ndio zinaliwa zaidi..yaani mwenye stake kubwa anaweka game chache return inakua kubwa..tofauti na stake ndogo ambazo zinahitaji subira zaidi..
 
Back
Top Bottom