Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Al maalum kwa wale,
Wazee wenzangu wa Inplay bet ktk Basket.

TUKAE MKAO WA KULA PESA.

Leo kuna hii mechi ya south korea
"Seoul Knights vs Mobil Phoebus"

Hii mechi nkiiangalia naiona kabisa ikitoa
"over 40.5 ktk 3rd quarter"

Kwann nasema hivo?

Hii ni kwasababu Mobil Phoebus akiwa away ni tishio sana katika ushambuliaji tangu ligi ianze.

Huyu Mobil Phoebus ameshinda mechi 7 mfururizo away na mechi zote hizo amepata point 87+

Huyu Mobil Phoebus ktk mechi zake 6 zilizoshinda akiwa away, mechi 5 mfururulizo ametoa "over 40.5 ktk 3rd quater"

Ukimwangalia huyu,
Seoul Knights, Huyu ndie anaeongoza ligi ya kikapu kwa hivi sasa.

Na ana striking offence ya maana sana.

Ijapokua mechi kadhaa za hivi karibun amekua hayuko form na amekosa consistence ya kueleweka.

Nna imani hii game ya Leo nae arafight sana ili asishushwe kwny msimamo.

Hivyo nae atashambulia kwa sana.

Kwahyo hii mechi, natarajia kuona vikapu vya kutosha kutoka kila upande.

Pia, tusisahau kujikumbusha mechi ya juz Seoul knights alpocheza na Incheon.

Tulishuhudia vikapu vingi sn 3rd quarter, ziliingia point 55 ktk 3rd quarter.

MY TAKE:
Hii mechi inafaa sana kuicheza over 160.5 IOT, odd: 1.48

Pia unaisubir wakienda half time, kisha in play tunajilipua over 40.5 ktk 3rd half,odd 1.48

Binafsi, hapo kwny Over 160 na over 40.5 ktk 3rd quarter ntaweka stake mlima.

Mwisho,
Hii mechi naiona km Mobil Phoebus anaweza kabisa kushinda ijapokua anacheza na kiongoz was ligi na muhindi kampa odd milima.

Binafsi hizo odd 2+ za ushindi was 2 way ntazifata, ila kwa stake kiasi.

TUSIIPOTEZE HII GOLDEN CHANCE WAKUU.
 
Wadau katika hizi betting za Biko, Tatumzuka, mojabet na nyinginezo zinazotangazwa kwenye tv mbona sijaona mtu mwenye uwezo mkubwa au muhindi/muarabu kashinda? Tunajua wahindi wako mbele sana kwenye suala la kamari. Je hii ni kweli au washindi wanapangwa?
 
Celta amekua akiwasumbua sana Barca na Madrid na vile kwasababu hii ni mtoano nategemea atatoa upinzani sana leo ivyo bhasi natarajia asifungwe kwa tofauti ya goli 2 maana hata game mbili zilizopita alimkomalia Barca na kutoa sare 2-2 na 1-1.
Warning: Mkuu kama stake yako ni ya kukuza mtaji usiiweke hapa
Mkuu,
Hiyo game, ni mtoano.

Na ni lazima Barcelona atatia full mkoko first eleven.

Simuoni celta akifutukuta kabisa mbele ya akina Messi,Iniesta,Suarez,umtiti na wengineo

Kingine ni kwamba, Camp nou ni uwanja unaoongoza ligi ya Hispania na nafas ya 2 bara LA ulaya.
Pia nafas ya 6 duniani

kwa wachezaji wa away team kula kadi nyingi(yellow card&red card)

Na ndo maan camp nou penalty na red card znakuaga nyingi.

Kwahyo Celta akijaribu kupiga viatu km alivozoea kule uwanjan kwake,

Ndani ya camp nou marefa hawatamchelewesha kabisa, atakula red card ya mapema

Na baada ya hapo, uwanja utainama.

Na mda si mrefu ataanza kuoga mvua ya magoli.

Camp nou sio pa kupaendea kichwa kichwa.

R.Madrid na A.Madrid wanapajua kwa historia yao nzur ya kula red card pale.

NI VEMA TUKACHUKUA TAHADHALI HII WAKUU.
 
Al maalum kwa wale,
Wazee wenzangu wa Inplay bet ktk Basket.

TUKAE MKAO WA KULA PESA.

Leo kuna hii mechi ya south korea
"Seoul Knights vs Mobil Phoebus"

Hii mechi nkiiangalia naiona kabisa ikitoa
"over 40.5 ktk 3rd quarter"

Kwann nasema hivo?

Hii ni kwasababu Mobil Phoebus akiwa away ni tishio sana katika ushambuliaji tangu ligi ianze.

Huyu Mobil Phoebus ameshinda mechi 7 mfururizo away na mechi zote hizo amepata point 87+

Huyu Mobil Phoebus ktk mechi zake 6 zilizoshinda akiwa away, mechi 5 mfururulizo ametoa "over 40.5 ktk 3rd quater"

Ukimwangalia huyu,
Seoul Knights, Huyu ndie anaeongoza ligi ya kikapu kwa hivi sasa.

Na ana striking offence ya maana sana.

Ijapokua mechi kadhaa za hivi karibun amekua hayuko form na amekosa consistence ya kueleweka.

Nna imani hii game ya Leo nae arafight sana ili asishushwe kwny msimamo.

Hivyo nae atashambulia kwa sana.

Kwahyo hii mechi, natarajia kuona vikapu vya kutosha kutoka kila upande.

Pia, tusisahau kujikumbusha mechi ya juz Seoul knights alpocheza na Incheon.

Tulishuhudia vikapu vingi sn 3rd quarter, ziliingia point 55 ktk 3rd quarter.

MY TAKE:
Hii mechi inafaa sana kuicheza over 160.5 IOT, odd: 1.48

Pia unaisubir wakienda half time, kisha in play tunajilipua over 40.5 ktk 3rd half,odd 1.48

Binafsi, hapo kwny Over 160 na over 40.5 ktk 3rd quarter ntaweka stake mlima.

Mwisho,
Hii mechi naiona km Mobil Phoebus anaweza kabisa kushinda ijapokua anacheza na kiongoz was ligi na muhindi kampa odd milima.

Binafsi hizo odd 2+ za ushindi was 2 way ntazifata, ila kwa stake kiasi.

TUSIIPOTEZE HII GOLDEN CHANCE WAKUU.
 
Walikuwa na Odds 4.75 kama sikosei. Ila jana Chicago Bulls wamepiga vikapu vya hatari sana.


Miami alikuwa na 2.75 na Chicago alikuwa na 2.70 ...yani hapo ulikuwa unawachukua hao tu na stake yako 50K saaaafi kbs.

Nafkiri Miami amerudi kwny form ninayomfahamu nayo. Ngoja nianze kumuamini sasa going forward.
 
Sitaisahau siku ya jana kwenye betting kwa hasara iliyonikumba, kila nikiliwa nikiweka nazidi kuliwa. Was a bad day indead.


Pole sn Chief ... mm jana yule mwingereza wa Southern League anaitwa Farnborough/Burnbury waliniudhi sn ... kuja kwny NBA napo timu ambazo nilikuwa nahisi zitashinda nikazipuuzia nikafuata famba. Daaah ...kwa hiyo nikapigwa kotekote.
 
Chupu Chupu niwekeze kwa ustadh Jamal, sasa hvi ningekua nalia.
d67fbface73307a2dce0daa80a7d3648.jpg
 
Back
Top Bottom