BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,940
Hzi habara ya score both half au win both half ni ya kukimbiwa kbisa na haya mambo ya corner ni kuwa nayo makini naona wachezaje wameanza kuchoka kwa mamechi mfulilizo sasa hivi ni bora utembee na vitu vya hakika vyenye odds hata kiduchu au uunge na basket ama volleyball na sasa australia open inaanza iatachngia odds