Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yani kiongozi uyu Madrid na PSG walinitia hasara sana ktk project yangu dhidi ya mhindi. Inabidi leo nifanye juu chini faida iwe kubwa sana kufidia gap la kupoteza jana
Calm down bro, hapa ni kutafuta utatuz tu wa kumpiga mhind usifanye kitu kisa jana uliliwa utaliwa tena tuliza akili ili utupe slots nzur tunakutegemea mkuu.
 
Mkuu nakusubir nife na slot zako
Maana alichofanya psg kwang
N majoz tu

Over 3.5 alikataa nayo
Mkuu hat tim kubwa ikutane na kibonde ni bora utoa over 1.5 tena hat hyo inaweza isitoe usiamin sana mkuu.
 
Screenshot_20180111-100749.png
 
Mbona umejiaminisha ufanye juu chini kana kwamba utaingia wewe uwanjani kucheza? Jinsi unavyokuwa na hasira ya kukomboa vedha iliyoliwa ndivyo unavyoendelea kupoteza na ndivyo unavyokuwa adicted hata kuchukua akiba ambayo hukupanga ku betia. Kifupi siku mkeka wako ukitiki usifikiri wewe ni bingwa sana wa kufanya analysis za timu na kwamba ukirudia tena kesho yaweza kutokea kama ilivyotokea leo. Hata uwe bingwa vipi wa uchambuzi hali halisi wakati wa mechi ndio itatoa matokeo halisi na matukio unique kwa kila mechi.Mara nyingi (ijapokuwa huweza kutokea) tunajidanganya na takwimu za H2H, ODD zilizotolewa na msimamo wa ligi husika bila kujua kuwa hakuna timu inaingia uwanjani ili ishindwe na wala hakuna timu inaingia uwanjani ili isishinde. Hakuna forward anayeingia uwanjani ili asifunge na hakuna beki anayeingia uwanjani ili aruhusu adui kumfikia golikipa wake na hakuna golikipa anayeingia uwanjani ili aruhusu nyavu zake zitikiswe.
Mkuu pole kwa kupoteza muda wako kuandika vitu vingi sana ambavyo tayari navifahamu!!Soma vizuri I said "NIFANYE JUU CHINI" hakuna mahali nimesema "NI LAZIMA NIRUDISHE LEO".
Tazama ulichokiandika humo kwenye red sasa
1. Hakuna siku nimefikiri kua mimi bingwa wala kujitangaza mimi ni bingwa humu ndani, na nikifanya ivyo nitakua mjinga
2. Mimi si mtoto kiasi kwamba nikafikia kuchukua akiba ambayo sikupanga. Mimi kwangu pesa ya huku ni ya huku tu, ktk huu mchezo nina rules zangu(hizi zipo documented kabisa ktk PC) nilizojiwekea mojawapo ya rule yangu nikutokutumia pesa nje ya bettting akaunti yngu ya Premierbet na kuibetia nk (Na sina utaratibu wa ku withdraw pesa huko mpaka baaada yamuda nilioupanga ktk rules zangu(yani after 6months mpaka 9months ndio naweza withdraw)

Anyway thanks kwa kuandika
 
Mkuu pole kwa kupoteza muda wako kuandika vitu vingi sana ambavyo tayari navifahamu!!Soma vizuri I said "NIFANYE JUU CHINI" hakuna mahali nimesema "NI LAZIMA NIRUDISHE LEO".
Tazama ulichokiandika humo kwenye red sasa
1. Hakuna siku nimefikiri kua mimi bingwa wala kujitangaza mimi ni bingwa humu ndani, na nikifanya ivyo nitakua mjinga
2. Mimi si mtoto kiasi kwamba nikafikia kuchukua akiba ambayo sikupanga. Mimi kwangu pesa ya huku ni ya huku tu, ktk huu mchezo nina rules zangu(hizi zipo documented kabisa ktk PC) nilizojiwekea mojawapo ya rule yangu nikutokutumia pesa nje ya bettting akaunti yngu ya Premier nk (Na sina utaratibu wa ku withdraw pesa huko mpaka baaada yamuda nilioupanga ktk rules zangu(yani after 6months mpaka 9months ndio naweza withdraw)

Anyway thanks kwa kuandika
Mkuu tuachane na hayo vp hii korea u23 vs Vietnum u23 wanaweza kutoa over 1.5? Nataka nitie mzigo mkuu ushaur please.
 
Odds za Miami Heats & Chicago Bulls zimeniuma sn ... hawa watu nilitaka niwaweke kwny mkeka wa peke yao lkn baadae nkaachana nao. Na wametoa direct win.
Walikuwa na odds nzr sn

Walikuwa na Odds 4.75 kama sikosei. Ila jana Chicago Bulls wamepiga vikapu vya hatari sana.
 
Back
Top Bottom