Hahahaha dah mkuu kidogo kidogo business yako inapiga hatua,
Ndo hivo mkuu,
Ela ikipatkana huku, tunachovya kidogo na kuwekeza kwngn.
Na Maisha yanaendelea.
Mwanzoni nlkua nauza duka mwnyw huku nabet,
Hii nlkuja kuiacha maana ilkua inaniondolea concentration nnapokua nafanya uchambuz wa mechi.
Ile umekaa tu kuchambua game 2,
Mara wateja hao.
Mwisho WA Siku nkawa performance inashuka.
Ikabd kaz ya kushinda dukan nimwachie wife ndie asimamie.
Ili duka jipya LA electronics , kuna binamu yangu kutokea mkoani nmemleta atusaidie kuuza.
Sahv,
kuna fremu moja nmeichukua mahali Jiran na duka ni kwangu.
Nataraji mtaji ukikua zaid mwakani nifungue rasmi Kijisaccos cha kutoa cha mikopo midogo
Sahv nmeshaweka furniture zote muhimu, strong vault na vitu vingine muhimu.
Kilichobaki ni mambo ya usajili na mtaji mkubwa kiasi.
Kwahyo
Kila asbuh huwa naondoka nyumban.
Naingia humo ,najifungia na nakutulia nikifanya uchambuz na kusuka mikeka.
HAKIKA HATA WIFE WANGU ANAFURAHIA SANA BETTING.
Na anatamani sana naye nimfundishe kubet.
ILA NILIMZUIA KABISA ASIJIHUSISHE NA HII SHUGHULI.
MAANA KUNA SOMETIMES,TUNAPITIA KIPIND KIGUMU SN
AMBACHO KWA MWANAMKE KUVUMILIA MAUMIVU INAKUA NI KAZI NGUMU KWELIKWELI.