Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anamtupia mpinzan vikapu vya kutosha fastafasta ila panathnaikos naona game imebalance au waionaje mkuu
Panathinaikos ni kawaida take kuanza vile.

Anapenda kumchosha kwnz mpinzani kwny set 2 za mwanzo.

Afu ndo anakua tishio zaidi kwny quarter ya 3 na 4

Anatupia vikapu ni hakuna mfano.

Naisubir sn 3rd quarter ifike nimpige muhindi pesa ya haja.
 
Hatari sana mkuu! Nimeomba Corner 10 FT.

Darasa alilolitoa DeepPond kuhusu Corner nililielewa. Siku hizi ni mwendo wa Corner na Handicap tu!

IMG_9938.jpg


BET WON [emoji857][emoji857][emoji857]

Wacha niendelee kushusha Bapa langu taratibu nikisubiria NBA za NIGHT KALI

Cc: DeepPond endelea kushusha shule na TIPS za kutosha.
 
Itapendeza zaidi mkuu
Haitapendeza iyo hata kidogo mkuu ni vyema ukabaki anonymous mkuu wangu binadamu sisi twajijua wenyewe, tuendelee kukutana na kusaidiana vyuma humu humu jukwaani huko kwingine ndo utakua mwanzo wa anguko lako, chukua huu ushauri mkuu
 
Mzee wa kazi nakuuliza mbona unakausha? Nilikuuliza majina ya zile App hujanijibu, nimekufata Pm nako umekausha

Day mkuuwakazi labda sijaonaaa mpwaaa use unanitag naona ....embunikumbushe ninerusha nyingi mpwa..nirushue inbox niziheki.
 
Haitapendeza iyo hata kidogo mkuu ni vyema ukabaki anonymous mkuu wangu binadamu sisi twajijua wenyewe, tuendelee kukutana na kusaidiana vyuma humu humu jukwaani huko kwingine ndo utakua mwanzo wa anguko lako, chukua huu ushauri mkuu
Mmmh,
Hapo mkuu nmekuelewa.

kuna ukweli aisee....

Thats smelling fishy

Aisee,
nisije ikafkia nikaibukiwa na watu wasiojulikana.

THANKS SO MUCH
 
Ratiba tamu sn hiyo.

Wazee wa kazi wote ndani.

Graafschap, bingwa wa away matches

NEC nijmeng, mzee Win/Win

jong ajax. Mzee wa 3+

DAH, KESHO LIKACHONGWE KABISA JENEZA KWA AJILI YA MAZISHI YA MUHINDI.
wish uutengenezeee usikuuuhuuu kabisa tufanye hmwk
 
Shit iv barcelona wamefungana dakika ya ngapi na ngap? Maana sielew au ndo mkeka umesha chanika.
 
Philadelphia hajawahi kuniangusha win first quater hakuna timu ya NBA inayokatiza mbele yake naweza kulala sasa [HASHTAG]#Reddic[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Simmons[/HASHTAG] wamenifanyia kazi nzuri sana
Hongera sn mkuu.
 
Barcelona vs Celta Vigo
Score: 2 - 0
Min: 13


⚽ Goal!!
Barcelona


*To follow LIVE Football & Football News on Duta:*
*Add to your group: +15206587198*

Ov1,5 [HASHTAG]#boooooooom[/HASHTAG] Weka ov 2,5/3,5 & gg
 
Back
Top Bottom