Barcelona vs Celta Vigo
Score: 3 - 0
Min: 27
⚽ Goal!! Alba
Barcelona
Rudisha nyumba weka make
Gg n ov 3.5
Ov 2.5 [HASHTAG]#boooooooooooooooooooooom[/HASHTAG]
Hv huyo celctic mbona wamedororaPhiladelphia hajawahi kuniangusha win first quater hakuna timu ya NBA inayokatiza mbele yake naweza kulala sasa [HASHTAG]#Reddic[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Simmons[/HASHTAG] wamenifanyia kazi nzuri sana
Slot No. 1
Moreirense FC - FC Porto
FC Porto
1.22
Malkiya Club - Al Hidd
1/X
1.21
Wewe jamaa,Waheshimiwa nina mkeka wa meridianbet nilicheza basket pekee mechi 8,niliunganisha za jana na ya leo moja.Za jana 7 zote zimetick.Bado game moja tu ya Euroleague PANATHINAIKOS Vs BARCELONA,saa 4 usiku..nilimpa Panathinaikos ushindi.Wenye maarifa na hizi game za Euroleague tafadhali nishaurini kuhusu mechi hii...nisubiri ama nikafanye turbo payout japo nipo mbali na huduma
INPLAY
BARCELONA OV 1,5/2.5
Mkuu ukikuta Philadelphia wana Joel Embiid na Ben Simmons wote wawili wakiwa uwanjani hakuna timu inayoweza kukatiza mbele zao ni hatari sanaHv huyo celctic mbona wamedorora
Hvo leo mkuu
WAKUU,Mkuu,
NIKUTOE HOFU NDUGU YANGU.
Hiyo mechi Barcelona hachomoki kabisa.
Panathinaikos ni timu chipukiz ktk hii michuano.
Na imeleta mapinduz makubwa sn upande wa basket Europe.
Huyu panathinaikos akiwa home ground ni tishio sana.
Amecheza mechi 23 hapo kwake.
Ameshinda mechi 20, Tena bila hata extra time.
Ameshinda mechi 13 mfurulizo,
Akipoteza mechi 3 tu.
Tena akipoteza dhidi ya majabali ya basket Europe.
Tena ilkua ni kipindi ambacho alkua na injuries wengi kwny timu.
Hzo mechi 3 Amepoteza dhidi ya CSKA Moscow ,unic Kazan na Darussafaka.
Huyo darussafaka nae amekuja kumfunga kwny extra time.
Na hzo mechi zenyewe alzopoteza ni long time ago.
Kwa sasa,
Panathinaikos yuko on fire.
Wakubwa na wakongwe wa kikapu barani ulaya wamechezea vichapo hapo uwanjani kwake.
MF:
real Madrid, fernabance, olympiacos na wengineo wengi.
Timu ambayo inamsumbua sana panathinaikos hapo nyumbani kwake ni CSKA Moscow.
Hawa ndo msalaba pekee wa jumuia kule Europe, wanapita kila nyumba na kufanya ubatizo.
Ila kwa Barcelona sioni kabisa akifurukuta hapo.
Ushauri,
Muache panathinaikos ashinde hyo mechi upige pesa.
Plan B,
Kama unaogopa sana,
nakuomba usiturbo huo mkeka.
Ni bora niuzie mimi huo mkeka, maana nnashida sana na pesa kipindi hiki.
NIKO TAYAR KUUNUNUA MKUU.
Slot No.2
FC Barcelona - Celta de Vigo
RC Celta De Vigo (Handicap 0-2)
2.70
Mechi bado mkuu,Hii slot moja Barca anaiua..
Agiza bia kabisaPorto anaongoza mbili namsubiria hapa anipe hii pesa
Big up
Niko najaribu kuipekua NBA.
So soon naleta
Atakoma. Alikuwa anajifanya anajua kusumbua mahakamaCelta vgo cha moto Ana kiona huko
Kwahyo 2way nimewin sioFenerbahce kaisha ongoza aisee