Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

INPLAY
Philadelphia 76ers v Boston
Celtics
3rd Period - Which team
wins race to 20.0 points
2
1.58
 
Haya wakuu leteni mikeka ya baskett tuweke mambo tumuumize huyu kanji
 
Kwa hisan ya deep point
Screenshot_20180112-002421.png
 
Agiza bia kabisa

Kuna kitu nimegundua Chief, hizi game ambazo una uhakika nazo kabisa.

Mfano hii ya Valencia vs Fenerbache unaweza kusubiria inplay 3 way, ukavizia odds za Fenerbache zipande hlf unatia mzigo.

Kwenye quarter ya Pili odds za Fenerbache zilifika 6.5 kabisa mtandao ukasumbua mpaka kuja kuplace bet odds zilikuwa 3.52 sema ndiyo nimeweka Stake ndogo.

Nimeichunguza hili muda mrefu nikaona ni very possible especially games za Basketball
 
Princess wamezngua sn .

Mm mwnyw mwishoni kwa 2rd quarter hzo odd nmeziona.

Nkachapa stake 100k,nkajaribu sn network ikagoma.

Ikabd niachane nayo
 
Kuna kitu nimegundua Chief, hizi game ambazo una uhakika nazo kabisa.

Mfano hii ya Valencia vs Fenerbache unaweza kusubiria inplay 3 way, ukavizia odds za Fenerbache zipande hlf unatia mzigo.

Kwenye quarter ya Pili odds za Fenerbache zilifika 6.5 kabisa mtandao ukasumbua mpaka kuja kuplace bet odds zilikuwa 3.52 sema ndiyo nimeweka Stake ndogo.

Nimeichunguza hili muda mrefu nikaona ni very possible especially games za Basketball
Na mm nime stake. Afu mkeka umepotelea hewani. Nahis nuhindi kachanganyikiwa kabisa. Kapigwa za uso.
 
Back
Top Bottom