Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,
Game ya pesa hii basket ukraine

Inaanza SAA 11.

Don't mess up with this oppotunity
 
pesa nyingi kama naiona hapa japo Madrid haeleweki lakini leo hawezi kukubali kufungwa ili apunguze gap la points
 
hivi hizo fixed wakijua zimegundulika hawawezi kubadili maamuzi kweli?
 
WAKUU....
Kwa wale wazee wenzangu wa handball na rugby Euro.

Hii ni pesa nje nje.

Odds: 1.92

Stake: 53,000 Tsh
Marejesho : 101,760 Tsh

NB:
Uyo wa kwnz ni handball
Hao wawili wa mwisho ni rugby

Mapambano yanaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…