Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

14a255629f6d0c38d6e14885b716bc74.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] John sing kanijibu leo yeeeees [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
IMG_20180113_150751.jpeg
IMG_20180113_150833.jpeg
Hizi fixed matches mbona kuna wakati zinaonekana kabisa. Basi tupeane taarifa mapema ili tuwe tunampasua huyu mhindi. Mnasema umoja ni nguvu?
 
kama hujapenda mkuu sorry ila JF walikuwa na maana kwa kuweka..sehem ya chatting..thread na Private msg..
siwezi andika kila kitu hapa, anyway good lucky
Mkuu una fanya biashara ya kuuza tips??

Maana kila kitu apa tunaweka hadharani ukitaka watu wakufate Pm lengo lako ni lipi haswa??

Kwann usi eleze tuu nia yako apa apa tukuelewe!!!
 
Back
Top Bottom