Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

14a255629f6d0c38d6e14885b716bc74.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] John sing kanijibu leo yeeeees [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mko vizuri mpaka namba ya simu umeshadaka mkuu
 
Ndio maana mda mwingine nabet vitim vdogo vikinichania cjuitii hawa chelsea nlijua magoli 3 mzigo nimeyapa mawili napo yameshindwa.......bull shit
 
Wazee wa inplay....
Mechi ya Chelsea.

Over 11.5 corner

Odds: 1.99

Mapambano yanaendelea


Chelsea kacheza hovyo sana, pamoja na red ya Leicester city lkn kashindwa kufanya cha maana

Hizi ndiyo game fixation zenyewe
 
Siipendagi madrid imeshanichania sana mikeka !!![emoji16][emoji16] hizi nyimbo ni bmuhmu kuzisikiliza
 
Back
Top Bottom