Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha aren't these games fixed???
Chelsea
Madrid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...no comment kwenye mechi ya Chelsea..kwa sababu sijaiangalia ila hii ya Madrid daah??magoli waliokosa...hapana asee....
 
Wakuu,
Game ya pesa hii basket ukraine

Inaanza SAA 11.

Don't mess up with this oppotunity
View attachment 674653
******BET WOOOOOOON*******

Hongera sana mlonifata ktk huu mkeka
2018-01-13-20-08-23.jpg
 
Wakuu,
Sing keshasema kuna mechi england wamezifix.

Naona ni vema zaid tukabet KWNY ligi nyngn.

Maana unaweza ukabet kichwa kichwa afu ndo ukaangukia KWNY fixed match.

Kama ilvokua kwa Sochaux,Nimes na PSV siku ya Jana.

HEBU TUKABET KWNY LIGI NYNGN
Wakuu,
John Sing alisema kua england wamefix mechi 3 ili wababe wapige pesa.

My take,
Chelsea ni mojawapo.

Kwann nasema hivo?
Chelsea Leo wameonekana kucheza kwa kurelax sana.

Hata pale Lester walipopata red, hawakuonekana kua na haraka na hamu ya kutaka kufunga.

Kingn,
Nmekiona kwa moses,
Leo moses kacheza chini ya kiwango kabisa.

Leo moses amekua hapigi cross kupitia pemben.

Amekua akipenda kupoza sn mipira akifika kwn eneo LA 18.

Kitu ambacho sio cha kawaida kwake.

Pia kuna clear chance moja kaipata DKK ya 93 baada ya rebound ya beki wa lester,

Ila alichokifanya V.moses ni kuubutua kwa kasi nje kabisa ya goli.

Hii inanipa mashaka kua amefanya kusudi.

Pia,
Tumeshuhudia mara nyng morata akilalama kua yuko kwny position afu watu hawapg cross.

Kingine ni Substitution ya hazard,

Sijaiona sababu ya Kocha kumtoa Hazard kwny game ngumu na inayohitaj matokeo km ile.

AKILI YANGU INANIPA MASHAKA SN NA HII GAME.

NA INANAMBIA KUA GAME YA CHELSEA NI MOJAWAPO YA MECHI 3 ZILIZOKUA FIXED KULE ENGLAND.
 
sure mkuu hata kutoka kwa Hazard na Cahill dkk za mwanzo tu nikajua hapa watu walikuwa na matokeo ya mifukoni aisee'
 
Hii mechi Nayo nahis ilkua kwny list ya mechi 3 zlzokua Fixed kule england

Screenshot_20180113-203104.png
 
Back
Top Bottom