Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha aren't these games fixed???
Chelsea
Madrid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...no comment kwenye mechi ya Chelsea..kwa sababu sijaiangalia ila hii ya Madrid daah??magoli waliokosa...hapana asee....
Hii michezo ya kufix match inakera sana.
 
Real Madrid 0 - 1 Villarreal
yellow1.gif


madrid kumbe kapigwa *****
 
Yaan leo sijaigusa football zaid ya Real Madrid kutoa hizo kona nilizo zitaka za over 9.5 na tip ya bwana Deep pond na zote zime win machale yalinicheza aisee.
 
okay ngoja niwape hints..maana naona lawama zimekuwa nyingi..hahaha
1. usibet kama starehe, betting ni kazi
2.bet nyingi za tz zina kulazimisha ubet kuanzia timu mbili au zaidi..hawaruhusu single bet japo zipo chache kama sportpesa ambao single bet wanaruhusu, hii ni mbinu ya kukufanya ukose bet yako, always bet single bet na sio multiple..angalia mikeka yako utakuta umechagua timu 3 au 4 alafu moja tu imezingua..lakn kama zile timu nne zote ungebet single means ungepata tatu moja ungekosa
3.ela unayo bet iwe ndogo kuliko iliyopo ktk accnt yako..usiweke mzigo wote uliopo ktk accnt yako.
4.usitamani kupata ela nyingi kwa kiasi kidogo yaani utakuta mtu anachora mkeka wa million alafu stake anaweka buku..vizur vina gharama, bet single weka ela ndefu.
usiwe na papara ya kupata ela kwa haraka yaan ndan ya siku moja uwe na mamillion sio sahihi..angalia watoa tips wote online accnt zao zina mda mrefu sana, good things take time
5.bet in play na sio kabla ya mechi haijaanza na bet site nying za tz hawaruhusu in play kwa sbb wanajua ni rahisi ku win, na bet site nyingi mfano mbet na mkeka wanaweka timu chache kwa sbb wanajua zina utata ila zile ambazo zipo direct wanaziacha..sana hii ktk tennis
6. ukiangalia fact zote hizo utajua kuwa bet site nyingi za tz wapo kifaida zaid na sio kukufaidisha wewe, japo sportpesa kidogo wanajitahid ila pia hawaweki mechi zote hasa ktk tennis wanaweka atp na wta ila itf hawaweki..pia na basket wanazuia baadhi ya mechi,
7.hamna bet site tz inayo offer cashout, cash out ni muhimu ktk kubet..kwa sbb inakupa option ya kuchukua kiasi kidogo ulichoshinda kabla mechi haijaisha..
8. bet za kizungu zina offer cashout, single bet, freebet, na bonus nyingi sana
kati ya zote bet 365 ndio bora zaidi japo unabet ktk dola ama euro but unauhakika wa kutengeneza pesa nzuri
dola moja ni sawa na sh 2100 na euro sh 2500 so unaweza ukawa una bet upate dola moja kila mechi na kwa siku upate dola 50 tu ambayo ni sawa na laki moja, kwa mwezi una millioni 3.(50 ×30×2000=3000000 tsh)


kubet ni kazi.

Fanya utafiti kabla ya kuandika hoja zako! Betting companies zipo zinazotoa huduma ya Cashout. E.g. Meridian, Mkekabet etc.

Hoja zako hazina mashiko mkuu, kajipange upya.
 
Exactly mi niliposikia uyo Sign kaongea nikawaza hii game tena ligi za Chini uingereza wana haka kamchezo. Si unamkumbuka yule jamaa aliyekula kababu
Ha ha ha...
Yule jamaa alikua ni noma sn aisee.

Hii michezo ya kufix match ni hatar sn
 
Back
Top Bottom