DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Good idea!nabadili plani napandisha stake hadi 40k kwa kila slip huku nikitafta odd 2.5
badala ya 5+ {huku stake ikiwa 20k per slip} nifanyavyo sasa.
Good idea!nabadili plani napandisha stake hadi 40k kwa kila slip huku nikitafta odd 2.5
badala ya 5+ {huku stake ikiwa 20k per slip} nifanyavyo sasa.
mkuu [emoji459] [emoji460] [emoji461] [emoji458] [emoji780] [emoji780] [emoji780]
nitajaribu but ili nipate faida inatakiwa ktka mikeka mitano kuanzia mitatu itikiGood idea!
hiyo ni option salama tu. usiogope odd pia naiona gg montipeller ni mbishiOdd mlima 1.8
Kampuni gani hii na unajiungaje sory mkuu maelekezo tafazali
Kama una amini.kuna game fixing basi huna haja ya kubet tuachie betting kacheze biko raha ya bukuHahaha aren't these games fixed???
Chelsea
Madrid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...no comment kwenye mechi ya Chelsea..kwa sababu sijaiangalia ila hii ya Madrid daah??magoli waliokosa...hapana asee....
nitafanyia kazi hukotennis
Game fixing ipo wewe acha ubishi,iko wazi kabisa hioKama una amini.kuna game fixing basi huna haja ya kubet tuachie betting kacheze biko raha ya buku
Shmona 1 - 1 Beitar Jerusalem18' Hapoel Ironi Kiryat Shmona 1:0 Beitar Jerusalem
Game za leo aiseee....uyu anayeongoza alikua na Odds 4+
Sasa kama hata wewe tunaekuamini unaleta habari za fixed matches tena du..Wakuu,
John Sing alisema kua england wamefix mechi 3 ili wababe wapige pesa.
My take,
Chelsea ni mojawapo.
Kwann nasema hivo?
Chelsea Leo wameonekana kucheza kwa kurelax sana.
Hata pale Lester walipopata red, hawakuonekana kua na haraka na hamu ya kutaka kufunga.
Kingn,
Nmekiona kwa moses,
Leo moses kacheza chini ya kiwango kabisa.
Leo moses amekua hapigi cross kupitia pemben.
Amekua akipenda kupoza sn mipira akifika kwn eneo LA 18.
Kitu ambacho sio cha kawaida kwake.
Pia kuna clear chance moja kaipata DKK ya 93 baada ya rebound ya beki wa lester,
Ila alichokifanya V.moses ni kuubutua kwa kasi nje kabisa ya goli.
Hii inanipa mashaka kua amefanya kusudi.
Pia,
Tumeshuhudia mara nyng morata akilalama kua yuko kwny position afu watu hawapg cross.
Kingine ni Substitution ya hazard,
Sijaiona sababu ya Kocha kumtoa Hazard kwny game ngumu na inayohitaj matokeo km ile.
AKILI YANGU INANIPA MASHAKA SN NA HII GAME.
NA INANAMBIA KUA GAME YA CHELSEA NI MOJAWAPO YA MECHI 3 ZILIZOKUA FIXED KULE ENGLAND.
Na ajipange kweli kweli. Kazingua, nahisi hadi aibu atajionea.Fanya utafiti kabla ya kuandika hoja zako! Betting companies zipo zinazotoa huduma ya Cashout. E.g. Meridian, Mkekabet etc.
Hoja zako hazina mashiko mkuu, kajipange upya.
Nlkua nacheck live commentary,Dah Connah's anashughulikiwa....mbwa kala mbwa
Mkuu jins ya kujiungaa kuweka pesa na kutoa pesa vip hap msaad plzwanaouliza company hiyooo..View attachment 674825
TNS 2 - 1 Bangor CityDah TNS leo 3+ ina Mshinda
Duh,.nlishasahau kabisa kua wazee wa kazi Leo wako uwanjaniTNS 1 - 1 GOALBangor City
kuna mtu aliomba 3+ hapa aombe mungu dkk ya 80+
Mkuu,Sasa kama hata wewe tunaekuamini unaleta habari za fixed matches tena du..
Game inakataa tu siku zingine
Kama umeliwa unajipanga..
Betting is all about risk turidhike na matokeo..
Mkuu game fixing ipo!!amini usiamini hivi umesahau Juve ilishushwa daraja baada ya kufanya huu mchezo?FIFA na vyama vya soka vinalijua hili ndio maana kuan wakati wanalifatilia kwa mbali, hayo mambo yapo juzi juzi tu hapo uingereza yule jamaa alicheza deal na kampuni ya betting kua atakula kababu uwanjani game ikiendelea alikula kweli wakamchunguza na kumfungia. Game fixing sometimes ipo kati ya kampuni za betting na team ili kuziongezea kipato team (Italy ndio michezo ya kimafia)Sasa kama hata wewe tunaekuamini unaleta habari za fixed matches tena du..
Game inakataa tu siku zingine
Kama umeliwa unajipanga..
Betting is all about risk turidhike na matokeo..