Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hyo pesa ni maradufu umuue barca na draw kwa psg afu asernal uweke correct score 2-2 afu unakunywa balimi zako 5 unalala kuliko kulipia sijui fixed match mtandaoni
Sure...juzi nmenunua kwa jamaa anaitwa Jessen erickssen..na group lake linaitwa Paulo dybala VIP...alinigei match tatu kwa siku tatu na kila mechi ilkua na odds 4+...na zilitoa..
Cha ajabu nlipolipia tu...tips zake zikafeli...WARNING:KAMA WEW NI MPENZI WA FIXED MATCH KAMA MIMI....LIPIA UNACHOWEZA KUPOTEZA...NA JIHAKIKI KABLA YA KUTUMA
 
1. Los Angeles Clippers v Sacramento Kings
2. Charlotte Hornets v Oklahoma City Thunder

Wazee wa kikapu nataka nipate Odds mbili hapo nitoke vipi?Cc Buddy , koncho77 ,DeepPond ,asrams and all
Mkuu leo ningekuwa nabeti ningewapa
Los Angeles Clippers DNB QUATER 1
1.54
Charlotte Hornets DNB QUATER 1
1.91

jumla ya odds 2.94 au hao wote ningewapa win INC OT
 
Mkuu mm bado naona nyota nyota, ila ngekuwa naweka mzigo ningempa LA Clippers win. Hii ya Charlotte siielewi sn ...lkn naona Charlotte akishinda, Oklahoma huwa hafurukuti hapo ...
Hzo habar za fixed match kulipia huo ni utapeli.

Kama ni kweli MTU yuko serious anataka wote mfanikiwe.

Hawez kukutoza pesa kwa tips ambayo ni just a probability.

Ndo maana mm hua sitoi kabisa uchambuzi au mkeka kwa mtu mmoja mmoja kwny PM.

Namwaga hapa hapa kwny Uzi kwa faida ya wote.

Mwny kufata na afate.

HIZI BIASHARA ZA MTU KUOMBWA AFATWE PM AU KWNY GROUPS ZA WHATSAPP KULIPIA BILL.

KWANGU NACHUKULIA NI UHUNI TU,

MUHUNI FLANI KACHUKULIA WEAKNESS ZA WENZAKE NA KAAMUA KUTENGENEZA FURSA.
 
Team za pesa kesho...[emoji116] [emoji116]
Screenshot_20180113-232355.png
Screenshot_20180113-232401.png
 
Mkuu leo ningekuwa nabeti ningewapa
Los Angeles Clippers DNB QUATER 1
1.54
Charlotte Hornets DNB QUATER 1
1.91

jumla ya odds 2.94 au hao wote ningewapa win INC OT
MKUUU umechambua vzr hili jambo nataka kujitosa
 
Kuna makocha sijui nao huwa wanabet??? ... unamuachaje Simion Zaza bench? ... naangalia hii game ya Valencia bado sijawa convinced km watashinda hii game.
Ngoja tuone lkn maana game bado sn.


Hahaha kipa wa Deportivo anafanya blanda na goal linapatikana, aliyesema mpira unadunda hakukosea ...
Ila hii game ina kona za kutosha (tayari kona 11 mpk sasa dk 42) ...wataalam wa kona tuwape vp hawa InPlay?
 
Fixed matches zipo sana mfano TSN walimpa 2_1 hizi correct score sema unapata nyingi, Jana alikuwa Getafe 1_0
Na ndio wakina Docta Leakey wanabetia chumbani...ntanunua at a MARA elfu kumi...mamaeee uyo meridian asiombe nipate real source
 
Wakuu hii game -- Deportivo vs Valencia -- imefika Half Time na jumla ya kona 12 ...

Je tunaweza kujilipua na Over 18.5 corners? mawazo yenu tafadhari kabla odds hazijabadilika.



0ed1270fc9f8f888f2dc068667df2efb.jpg



10a59d5aa326d42dd3406ac1e0c1d176.jpg
 
Back
Top Bottom