DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Pole sn mkuu,Uwezi amini niliziacha nikamkimbilia Madrid anayetoa kila mara na leo hajatoa
Am feeling ur pain.
Mapambno ni lazima yaendelee.
Ni marufuku muhindi kulala na chenji yote.
Pole sn mkuu,Uwezi amini niliziacha nikamkimbilia Madrid anayetoa kila mara na leo hajatoa
Chief una mkakati kabambe,View attachment 674951
Leo matokeo mabaya mpaka nimekosa nguvu ya ku update sheet yangu ya slot ya mahesabu....maaana kwa leo zote zitasoma red
Hao TSN mara nyingi wanatumika aisee, game zao nyingi inaweza fika mpaka dk ya 90 bilabila ikifika dk ya 93 wanakumbuka majukumu unakuta 3-0 ya DW na Over 2.5 au 3-1 ya both team to score.Fixed matches zipo sana mfano TSN walimpa 2_1 hizi correct score sema unapata nyingi, Jana alikuwa Getafe 1_0
Hao TSN mara nyingi wanatumika aisee, game zao nyingi inaweza fika mpaka dk ya 90 bilabila ikifika dk ya 93 wanakumbuka majukumu unakuta 3-0 ya DW na Over 2.5 au 3-1 ya both team to score.
Mfano leo mpaka dk ya 78 ilikua 0-0,ilipofika ya 90 ikawa 2-1 (yaani ndani ya dk 12 yalifungwa magoli matatu kutengeneza score ya 2-1. Sasa kama ulicheza inplay ya under 2.5 unapigwa za uso
Hah ha ha ha ha Mkuu mipango muhimu, hatuchezi kutupa pesaChief una mkakati kabambe,
We hatari sana
View attachment 674951
Leo matokeo mabaya mpaka nimekosa nguvu ya ku update sheet yangu ya slot ya mahesabu....maaana kwa leo zote zitasoma red
Yeah hao ni kujichezea magoli tu tena kwa uangalifu sanaKweli aisee halafu hawa nimewafuatilia mara kadhaa 3+ yao wanaitoa dk za majeruhi ... kuna namna hapa. Haiwezi ikawa coincidence hii.
Ha ha ha ha Mkuu mmeusoma huu uzi lakini?unahusu Kuwekeza, sasa kama unaotoa nusu ya mshahara wako kiasi cha 1M na kuwekeza ama kukitupa huku kwnini usiwe serious?ha ha ha haMkuu uko serious ... dooh !
Haooohakunauangalifu mkuuu ukiwanamtajimwaga inaonekana wakubwa wanatengeneza daily hela na ov 2.5 yahawajamaaa usiwaache..kamaa umeoona Jana wakati naandika kokoro nkaweka timu tatu nkaandika tsn ov 2.5 wekamkenawatotooooYeah hao ni kujichezea magoli tu tena kwa uangalifu sana
Yahitachezwa mida gani au ni alfajili?
Ha ha ha ha Mkuu mmeusoma huu uzi lakini?unahusu Kuwekeza, sasa kama unaotoa nusu ya mshahara wako kiasi cha 1M na kuwekeza ama kukitupa huku kwnini usiwe serious?ha ha ha ha
Haswaaa hesabu muhimu sana wengi tunapotea hapo tu....kingine u serious unahitajika maana haiwezekani issues iwe inakuweka macho hadi usiku wa mida hii alafu eti usiwe serious nayo. Kila la kheri mkuuHahahah ... aiseee nimeipenda hii. Ngoja na mm niandae spreadsheet maana wahenga wanasema "mali bila daftari hupotea bila habari"