Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah sijui kwa nini sijawahi ipenda hii option ... naiona iko risky sn. I would rather play "First Half GG - NO"
Nzuri sana hii haswa kama unataka Odds 1.5 tu. Uzuri wa hii 85% to 95% ya mechi katika baadhi ya ligi umalizika bila red haswa epl
 
Daah sijui kwa nini sijawahi ipenda hii option ... naiona iko risky sn. I would rather play "First Half GG - NO"
mkuu hii option nzuri sana kama huna tamaa ya odd kubwa yani kama unataka tu odd 1.5-ila ni risk sana kwenye timu za spain
 
mkuu hii option nzuri sana kama huna tamaa ya odd kubwa yani kama unataka tu odd 1.5-ila ni risk sana kwenye timu za spain
Hii Option Hata Mm Huwa Naipenda Na Hata Kesho Game Ya City Na Live Inatoa Vzr Tu.. Hispain Kuna Timu Hizo Kwa Red Card Hatar... Alafu Red Card Kutoka Ni Mara Chache Mnooo...
 
Screenshot_20180114-015212.png
Screenshot_20180114-015151.png
Screenshot_20180114-015140.png
Screenshot_20180114-015130.png
Screenshot_20180114-015113.png
Screenshot_20180114-015049.png
Screenshot_20180114-015040.png
Screenshot_20180114-015026.png
Screenshot_20180114-015017.png
Screenshot_20180114-015212.png
Screenshot_20180114-015151.png
Screenshot_20180114-015113.png
Screenshot_20180114-015026.png
Screenshot_20180114-015017.png
Screenshot_20180114-015040.png
Screenshot_20180114-015049.png
Wakuuu ni bora ktk match nyingi ucheze na handicap 0:2 kwa timu kubwa ikiwa ugenini au 0:1 kwa timu kubwa ikiwa nyumbani kwani inasaidia sana japo odds kdg lakini ukichukua timu 12 ni 2.5 odds zinakutoa kbsa mm hii nimetembea nayo kwa muda mrefu sana na inanisaidia bora uweke fungu la kutosha aisee msidharau hii ni biashra lzma uwe caution katika kutake risk
 
Duuh Charlotte & Oklahoma kuna ushindani sn ... ngoja niwajaribu na Over 215.5 Inplay.
 
Mkuu Buddy vipi hapa Ova 2.5 nataka kutikisa walet. Ushauri na wadau wengine.
 

Attachments

  • Screenshot_20180114-013900-01.jpeg
    Screenshot_20180114-013900-01.jpeg
    18 KB · Views: 43
Mkuu Buddy vipi hapa Ova 2.5 nataka kutikisa walet. Ushauri na wadau wengine.


Game ngumu hizi ... kipindi cha kwanza zinaweza kwenda droo 0-0 au likapatikana goli moja.
So option nzr nafkiri ingekuwa ...

upload_2018-1-14_2-22-21.png


ama kujilipua kwa ...

upload_2018-1-14_2-23-15.png
 
Mkuu buddy vipi na hii
 

Attachments

  • Screenshot_20180114-023054-01.jpeg
    Screenshot_20180114-023054-01.jpeg
    19.9 KB · Views: 47
MKEKA WA PESA HUO

Odds: 2.92

Stake: 52k
Marejesho:151k

NB:
Oyo wa kwnz ni football Mexico
Uyo wa pili ni football newzealand
Hao wa mwisho ni NBA


Changamka, hyo ya kwnz inaanza SAA 9:00

Mapambano yanaendelea
Screenshot_20180114-024012.png
 
Pole sn mkuu,

Mm nawasubir washington nkacheze 3rd quarter



Asante mkuu ... hapa ni kuomba waende OT ndo itakuwa pona yngu, tofauti na hapo anasepa na nilichokipata kwa Valencia & LA Clippers...
 
Back
Top Bottom