farah hassan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 492
- 370
mkuu nielekeze jinsi ya kutunza data kama hivi me binafsi natumia kuandika kwenye kaatasiView attachment 674951
Leo matokeo mabaya mpaka nimekosa nguvu ya ku update sheet yangu ya slot ya mahesabu....maaana kwa leo zote zitasoma red
BET Wooon...kwa tulio Copy &Paste....Ubarikiwe mkuu DeepPondMKEKA WA PESA
Kwa wazee wenzangu wa hockey & tennis
Odds: 2.64
Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,000 Tsh.
NB:
Uyo wa 1&2 ni hockey- USA
Uyo wa mwisho ni Tennis Australia WTP
Mapambano yanaendelea
View attachment 675081
Mkuu embu nieleweshe hio Euro Handicap 0_2,,0_1,,ina maana gani maana handicap nayoijua ni ile ya timu kushinda kwa tofauti ya kuanzia goli 2...mfano 2_0,,3_1,,4_2,4_1..n.k!!Hio nyingine ina maana gani??unayoiongeleaMkuu uwe unatupia mikeka yako kuazia sasa najua ulikuwa unafanya utafiti ni ombi lakini .
Salute kwako Mkuu nimepata hela ya chai kwa mkeka huuMKEKA WA PESA
Kwa wazee wenzangu wa hockey & tennis
Odds: 2.64
Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,000 Tsh.
NB:
Uyo wa 1&2 ni hockey- USA
Uyo wa mwisho ni Tennis Australia WTP
Mapambano yanaendelea
View attachment 675081
Mkuu kwny kuweka hela Premier, kumbukumbu namba unaweka nn?BET WON
premierbet wamenikaribisha vizuri baada ya kuwakimbia kwa wiki 2 nzima
No yko ys simu le mbebez you knowwMkuu kwny kuweka hela Premier, kumbukumbu namba unaweka nn?
Unalogin- alafu tafuta payment ipo kwenye plofile yako ya njano a.k.a kibichwa, alafu chagua deposit alafu utaona option 3 yapremier voucher-M pesa na Tigo pesa, chagua jinsi unavyotaka kulipia kama ni Tigo au mpesa, ingiza kiasi alafu fuata maelezo hadi ufike kwenye vibendera ndo utapata reference noMkuu kwny kuweka hela Premier, kumbukumbu namba unaweka nn?
Ahhha thnk chief you knoNo yko ys simu le mbebez you knoww
MKEKA WA PESA HUO
Odds: 2.92
Stake: 52k
Marejesho:151k
NB:
Oyo wa kwnz ni football Mexico
Uyo wa pili ni football newzealand
Hao wa mwisho ni NBA
Changamka, hyo ya kwnz inaanza SAA 9:00
Mapambano yanaendelea
View attachment 675071
MKEKA WA PESA
Kwa wazee wenzangu wa hockey & tennis
Odds: 2.64
Stake: 38,000 Tsh
Marejesho: 100,000 Tsh.
NB:
Uyo wa 1&2 ni hockey- USA
Uyo wa mwisho ni Tennis Australia WTP
Mapambano yanaendelea
View attachment 675081
Mkuu iyo ni excel sheet tu ya kawaida, ktk iyo excel kila slot nayoiwekea pesa huwa naiandika Bet slip numba yake na kwa siku mara zote huwa nacheza slot 8 hadi 10 za mechi mbili mbili zisizozidi Odds 2 mara nyingi nacheza 1.5-1.6. Winning slot ndio hizo green za kukosa ndio hzo red pesa ya hzo slot huwa si deal nayo wala siitoi(yani hakuna ku withdraw) nairudisha huko hukomkuu nielekeze jinsi ya kutunza data kama hivi me binafsi natumia kuandika kwenye kaatasi
Central Coast Mariners 2 - 2 Melbourne City![]()
Hii Tim hakuna sku inaskosa read card
Cjui Huwa wanabet au mbn
Tena wanakula read card za mapema kabsa