DUMEGUY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 499
- 206
Ova 2.5 Saaaafi kabisaCentral Coast Mariners 2 - 2 Melbourne City
Ova 2.5 Saaaafi kabisaCentral Coast Mariners 2 - 2 Melbourne City
Sio kweli.No yko ys simu le mbebez you knoww
Umekosea njia mkuuHi mwana jf karibu katika group la mambo ya siasa na mstakabali wa nchi yetu. Group hili ni la app inaitwa telegram, hivyo kabla ya kubonyeza link, download app ya telegram ambayo inapatikana playstore. Kama huna app fuata hii link kudownload. Telegram APK Download for Android.
Baada ya kuinstalll join hapa ka kufuata hii link. TUONGEE SIASA.
Hiyo siasa ni kitu inaliwa?Hi mwana jf karibu katika group la mambo ya siasa na mstakabali wa nchi yetu. Group hili ni la app inaitwa telegram, hivyo kabla ya kubonyeza link, download app ya telegram ambayo inapatikana playstore. Kama huna app fuata hii link kudownload. Telegram APK Download for Android.
Baada ya kuinstalll join hapa ka kufuata hii link. TUONGEE SIASA.
Wana hatua hadi uingie Website yao, UtaBofya sehemu imeandikwa Deposite. Then unachagua Mtandao gani,Mkuu kwny kuweka hela Premier, kumbukumbu namba unaweka nn?
Acha mamb yak hay watu wako kazini unaleta utani na drama zako bhnaHi mwana jf karibu katika group la mambo ya siasa na mstakabali wa nchi yetu. Group hili ni la app inaitwa telegram, hivyo kabla ya kubonyeza link, download app ya telegram ambayo inapatikana playstore. Kama huna app fuata hii link kudownload. Telegram APK Download for Android.
Baada ya kuinstalll join hapa ka kufuata hii link. TUONGEE SIASA.
embu nipe uzoefu wako mkuu maana nataka kurudi odd ndogo kama zamani ambazo nilionaga napoteza time tu. mana kwa sasa natafta odd 5+ nazenyewe zishakuwa tait sana japo hapo katikati zilikuwa naenda nazo sawa.Mkuu iyo ni excel sheet tu ya kawaida, ktk iyo excel kila slot nayoiwekea pesa huwa naiandika Bet slip numba yake na kwa siku mara zote huwa nacheza slot 8 hadi 10 za mechi mbili mbili zisizozidi Odds 2 mara nyingi nacheza 1.5-1.6. Winning slot ndio hizo green za kukosa ndio hzo red pesa ya hzo slot huwa si deal nayo wala siitoi(yani hakuna ku withdraw) nairudisha huko huko
MKEKA WA PESA HUO
Odds: 2.92
Stake: 52k
Marejesho:151k
NB:
Oyo wa kwnz ni football Mexico
Uyo wa pili ni football newzealand
Hao wa mwisho ni NBA
Changamka, hyo ya kwnz inaanza SAA 9:00
Mapambano yanaendelea
View attachment 675071
kumbukumbu namba wanakutumia wenyeweMkuu kwny kuweka hela Premier, kumbukumbu namba unaweka nn?
Deep pond Mungi akubariki sana kwa wema wako aisee.Hzo habar za fixed match kulipia huo ni utapeli.
Kama ni kweli MTU yuko serious anataka wote mfanikiwe.
Hawez kukutoza pesa kwa tips ambayo ni just a probability.
Ndo maana mm hua sitoi kabisa uchambuzi au mkeka kwa mtu mmoja mmoja kwny PM.
Namwaga hapa hapa kwny Uzi kwa faida ya wote.
Mwny kufata na afate.
HIZI BIASHARA ZA MTU KUOMBWA AFATWE PM AU KWNY GROUPS ZA WHATSAPP KULIPIA BILL.
KWANGU NACHUKULIA NI UHUNI TU,
MUHUNI FLANI KACHUKULIA WEAKNESS ZA WENZAKE NA KAAMUA KUTENGENEZA FURSA.
Mpwaaahukupesaa banaasiasa kaanazoHi mwana jf karibu katika group la mambo ya siasa na mstakabali wa nchi yetu. Group hili ni la app inaitwa telegram, hivyo kabla ya kubonyeza link, download app ya telegram ambayo inapatikana playstore. Kama huna app fuata hii link kudownload. Telegram APK Download for Android.
Baada ya kuinstalll join hapa ka kufuata hii link. TUONGEE SIASA.