Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haswaaa hesabu muhimu sana wengi tunapotea hapo tu....kingine u serious unahitajika maana haiwezekani issues iwe inakuweka macho hadi usiku wa mida hii alafu eti usiwe serious nayo. Kila la kheri mkuu

Kweli mkuu mim ntaifanya manual zaidi ntatafuta counter book la mahesabu
 
Screenshot_20180114-001109.png
Screenshot_20180113-234459.png
mAPEMA KABISA
OV 2.5 [HASHTAG]#wooooooon[/HASHTAG] BASIASI KOKOROOOO
 
PETERHEAD GG
[HASHTAG]#wooooooooooon[/HASHTAG] BASIASI KOROKOOOROOO
Screenshot_20180114-001914.png
Screenshot_20180114-001901.png
 
East life 2HTG
[HASHTAG]#WOOOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]
BASIASIII KOKOROOOOO
Screenshot_20180114-002122.png
 
Haswaaa hesabu muhimu sana wengi tunapotea hapo tu....kingine u serious unahitajika maana haiwezekani issues iwe inakuweka macho hadi usiku wa mida hii alafu eti usiwe serious nayo. Kila la kheri mkuu
Hesabu muhimu sn mkuu,

Hii biashara ni kama biashara ya duka tu.

Usipoithamini ile tsh.100 inayokuweka mjini.

Basi hutaithamini 10 mil utayopata kwny mikeka.

Ni idea nzur sn

Inakufanya unakua panctual zaid kwny business

Binafsi huwa nafanya kila baada ya siku 2 (SAA 48) ndo nafunga hesabu.

MALI BILA DAFTALI,HUPOTEA BILA HABARI.
 
Kweli aisee halafu hawa nimewafuatilia mara kadhaa 3+ yao wanaitoa dk za majeruhi ... kuna namna hapa. Haiwezi ikawa coincidence hii.
Trust me Mkuu, kuna time fulani wakati nasoma masters niliwahi kwenda Wales kwa ajiii ya short course. Wadau wa mpira wa pale wanazungumzia sana ile ligi yao na hizo issue, Swansea City tu ndio hazungumziwi cjui sabab Premier League wako serious
 
Basiasikokoroooo
Valencia win n ov 1.5
[HASHTAG]#wooooooooon[/HASHTAG]
(Exp)
Screenshot_20180114-002552.png Screenshot_20180114-002535.png
 
Hesabu muhimu sn mkuu,

Hii biashara ni kama biashara ya duka tu.

Usipoithamini ile tsh.100 inayokuweka mjini.

Basi hutaithamini 10 mil utayopata kwny mikeka.

Ni idea nzur sn

Inakufanya unakua panctual zaid kwny business

Binafsi huwa nafanya kila baada ya siku 2 (SAA 48) ndo nafunga hesabu.

MALI BILA DAFTALI,HUPOTEA BILA HABARI.
Sure Mkuu....vipi NBA nacheki hii game ya Valencia uku navizia Odds za kikapu ukizitupia, mi kikapu sikifahamu kabisaa
 
Mkuu leo kikapu vip?navizia Odds zenu na kausingiz kwa mbaaaaali


Nilikushauri LA Clippers naona mpk sasa karibia wanaenda Half Time anaongoza tofauti ya vikapu 20. Alikuwa na odds 1.4
Nilitengeneza mkeka wa recovery nikampa Valencia na LA Clippers ... naona km dalili nzr za kurudisha hasara.
 
no red card leo zimetoa sana kwa walio cheza timu mbili mbili au tatu,tatu leo matunda wameyaona.mie leiceter city kaondoka na 150K kwa kupata red card
 
no red card leo zimetoa sana kwa walio cheza timu mbili mbili au tatu,tatu leo matunda wameyaona.mie leiceter city kaondoka na 150K kwa kupata red card


Daah sijui kwa nini sijawahi ipenda hii option ... naiona iko risky sn. I would rather play "First Half GG - NO"
 
Back
Top Bottom