Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naye angekua Anafanya kimyakimya sasa mpaka kuwakashifu ''They hacked my account,I hacked their Server'' pengine wameshamshtukia...aisee daah!! embu DeepPond na wengine mchekini jamaa@JohnSing kama anapatikana...mi nlimpata mara ya kwanza saivi naambiwa Content not available[emoji38][emoji38]
 
Kama kuna ushauri hapa nataka niweke kima cha chini cha mshahara (TZ) ...


upload_2018-1-13_14-46-24.png
 
Naye angekua Anafanya kimyakimya sasa mpaka kuwakashifu ''They hacked my account,I hacked their Server'' pengine wameshamshtukia...aisee daah!! embu DeepPond na wengine mchekini jamaa@JohnSing kama anapatikana...mi nlimpata mara ya kwanza saivi naambiwa Content not available[emoji38][emoji38]
Hahahaaaa nlkuw nataka niweke stake hata ya 100000 leo wangenikoma manina zao.
 
Pesahioooo
 

Attachments

  • Screenshot_20180113-144858.png
    Screenshot_20180113-144858.png
    15 KB · Views: 46
Hahahaaaa nlkuw nataka niweke stake hata ya 100000 leo wangenikoma manina zao.
Daah kaka achaa tu I planned the same kaka nlitaka izo odd 500 nizitupie 100k nipige izo Milion kadhaa acha tu broo...ama kwel ng'ombe wa maskini hazai asee....

ila kwa kua alishatuambia ni England...the bad thing hatujui ni Epl au Championship??...ningefanya kuselect tu ata mikeka ya ile option 2/1 maana points zake ni nyingiii....ningebadilibadili huyu na yule huyu na huyu....maana kama mwongozo kashatupa..[emoji23]
 
Wadau nisadieni kuangalia game ya basketball kati ya

Ormanspor genclik

Vs

Fenerbahce

Ilikua inaanza SAA nane kamili lakini mpka now haijaanzaa. Cjui imeahirishwa au VP??
 
Back
Top Bottom