Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah,
Huyu jamaa sio wa mchezo mchezo.

Zile za Jana alpozipost mchana.

Kabla ya mechi,nlicheck watu kibao wanamshangaa.

"Dude, u gonna b outa of ur mind, over 6.5 ?".

"King, that's a lie, this match cant end X/X "

Jamaa akawajibu Kirahisi sana.

"Told u already, no analysis no prediction"

"Those matches are 100% fixed, Let's meet here after 90 min"

DAH,
HUYU JAMAA NI HATARI SANA KWA AFYA YA MUHINDI.

Mkuu timu yako Paderborn ina friendly game leo, umeona?
 
All thrbest
Screenshot_20180113-141028.png
 
Mkuu hizo Friendlies mimi huwa sichezi direct win ama double chance hata siku moja. Ni mwendo wa magoli tu.
Sikuwa najua km baadhi wanazifix lkn nilikuwa najua timu nyingi wanacheza just kujaribu mbinu na kuwaweka wachezaji fit for other competitive games ... as John Sing said, "they've got nothing to lose" ... na ndio maana unaona nyingi zinatoa Over 2.5
 
Wakuu hapa vipi Niplace bet au LA?
 

Attachments

  • Screenshot_20180113-141336-01.jpeg
    Screenshot_20180113-141336-01.jpeg
    30 KB · Views: 35
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
Club Friendly Games
Ajax Amsterdam-DuisburgOver(2.5)1.56
Club Friendly Games
FC Thun - FC WohlenOver(2.5)1.38
TOTAL ODDS: 2.15
BOOKING CODES:
BET9JA: 6CV3DSJ

Add tns +Chelsea kanywesupu
 
Wakuu hapa vipi Niplace bet au LA?
Broo acha tamaa ya Odds zote izo ile hali una Mtaji mkubwa kiasi hicho tafuta timu 2_3 weka huo mzigo upate laki au laki na nusu...sio mbaya...kwa asilimia kubwa utashinda...kuliko timu msululuu...namna hio kuharibika ni fasta yan...
 
Back
Top Bottom